Nina tatizo la uume kusimama mara kwa mara?

Hilo gonjwa linaitwa Ngale pitia Ohio kila jion ukianza kuona dalili Dozi ni buku tano kwa tembe moja, maumivu yakizid waone wahaya! Ukiwa na kondom ya chuichui!
 
Ukiona unadinda then unaogopa kupita mbele ya dem jipige makonzi au jing'ate,,
 
Uambie tu uwe na adabu kwanini usimame bila kufuata taratibu? Yaani wewe umekuwa kama mnyama mmoja anaishi majini anaitwa fisi maji. Huyo mnyama akikutana na samaki, mwamba, magugu kila kitu anafikiri na mke. Na wewe una nguvu kama za fisi maji? Train mwili wako uwe na adabu na kwa kweli unatakiwa uadabishe hicho kiungo chako.
 
wadau, huu uume wangu umekua ukisimama kila mara, after ever few minutes lazima usimame, nikiona mwanamke mrembo tu, unasimama mpaka unauma, yaanimpaka naona hata aibu kusimama kama nilikau nimekaa in a public place..Ni taizo gani, hii ni kawaida, nitumie dawa gani upunguze kusimama?? kama ni tendo la ngono huwa nina kwenda round tano na kuendelea nahisi sipo sawa kiafya

Mbona upo sawa tu. Kwa utaalamu wangu wa ngumbalu inaelekea wewe ndo kwanza umebalehe na ndiyo maana unachapa mpaka raundi tano za kihasara. Nasema hivi kwa sababu, katika hali ya kawaida mtu anayejuwa mchezo kitandani na kumfurahisha mwanamke haendi raundi zote hizi, it's not possible unless wewe ni bwana mdogo (miaka 15 - 27). Kawaida lika hili huwa halijuwi kufurahisha wanawake kwani wengi wao wanachapa to benefit themselves na ndiyo maana wanachapa mpaka raundi tano za hasara huku demu akiwa bado hajaridhika. Ila kama wewe ni zaidi ya hiyo miaka na dushelele lako linasimama kila dakika tano basi juwa wewe una nyege za nzi na unahitaji msaada toka mwa waziri mtarajiwa MziziMkavu. Subiri nimpigie simu aje hapa jukwaani!
 
Last edited by a moderator:
wadau, huu uume wangu umekua ukisimama kila mara, after ever few minutes lazima usimame, nikiona mwanamke mrembo tu, unasimama mpaka unauma, yaanimpaka naona hata aibu kusimama kama nilikau nimekaa in a public place..Ni taizo gani, hii ni kawaida, nitumie dawa gani upunguze kusimama?? kama ni tendo la ngono huwa nina kwenda round tano na kuendelea nahisi sipo sawa kiafya
Mkuu.@mkaliwakitaa kula vyakula vya mafuta kwa wingi,kunywa sana maji baridi, kula vyakula

vyenye sukari kwa wingi, fanya kazi ngumu, Vuta Sigara,Au kula Mirungi, Piga Punyeto, hayo ni machache yatakayo kupunguzia

kusimama kwa uume wako jaribu kisha uje hapa unipe Feedback.Mkuu.@
Mkereketwa_Huyu Nimesha mjibu Mkuu mkaliwakitaa Nimempa Negative Advise.
 
source please! naanza kuogopa ushauri wa hapa jf kama ndo hivyi, hapo nilizobold.au ndo maana ya negative advise lakini yeye anatatizo anataka msaada,positive advise ndo zinahitajika.
 
Tatizo hili huwa linawatokea sana wanaopenda kufanya masturbation.sasa kwa wewe, ngoja tupokee maoni

Back
Top Bottom