Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona upo sawa tu. Kwa utaalamu wangu wa ngumbalu inaelekea wewe ndo kwanza umebalehe na ndiyo maana unachapa mpaka raundi tano za kihasara. Nasema hivi kwa sababu, katika hali ya kawaida mtu anayejuwa mchezo kitandani na kumfurahisha mwanamke haendi raundi zote hizi, it's not possible unless wewe ni bwana mdogo (miaka 15 - 27). Kawaida lika hili huwa halijuwi kufurahisha wanawake kwani wengi wao wanachapa to benefit themselves na ndiyo maana wanachapa mpaka raundi tano za hasara huku demu akiwa bado hajaridhika. Ila kama wewe ni zaidi ya hiyo miaka na dushelele lako linasimama kila dakika tano basi juwa wewe una nyege za nzi na unahitaji msaada toka mwa waziri mtarajiwa MziziMkavu. Subiri nimpigie simu aje hapa jukwaani!
Hapa nilio yenyewe tayari umesimama
Asante Mwalimu kwa hili.Kuna vijana huwa wanajisifia humu kwamba wameenda mara 4,5,6 au zaidi.hawajui kwamba hiki sicho wanachotaka wapendwa wao.wapendwa wao wangetamani wafikishwe angalau hata mara moja tu.Kila siku wafika wewe tu, mwenzako afikishwe na nani,muuza urembo anayepita mtaani kwako?.
Mkuu ng`wana ong`wa kulwa itabidi uogope ushauri wa hapa Jf. kama haupo Serious kuuliza swalisource please! naanza kuogopa ushauri wa hapa jf kama ndo hivyi, hapo nilizobold.au ndo maana ya negative advise lakini yeye anatatizo anataka msaada,positive advise ndo zinahitajika.
wadau, huu uume wangu umekua ukisimama kila mara, after ever few minutes lazima usimame, nikiona mwanamke mrembo tu, unasimama mpaka unauma, yaanimpaka naona hata aibu kusimama kama nilikau nimekaa in a public place..Ni taizo gani, hii ni kawaida, nitumie dawa gani upunguze kusimama?? kama ni tendo la ngono huwa nina kwenda round tano na kuendelea nahisi sipo sawa kiafya
Nimekupata kiongozi.Mkuu ng`wana ong`wa kulwa itabidi uogope ushauri wa hapa Jf. kama haupo Serious kuuliza swali
utajibiwa kabla ulivyo uliza swali lako la pumba. Huyu mkuu.@mkaliwakitaa swali lake halina msingi wowote eti
uume wangu unasimamam kila wakati alitaka uume wake usisimame nini? Watu wana matatizo ya nguvu za
kiume yeye anaeleta matatizo ya kijinga? itabidi tumjibu kijinga jinga hivyo hivyo alivyo uliza ndivyo
atakavyojibiwa unasemaje Mkuu? Dawa ya uume kusimama kila unapowaona wanawake dawa yake tafuta
mke wa kuowa uwenae kila siku mke wako unafanya nae Sex Uume wako kusimama ovyo utakwisha kabisa.
wadau, huu uume wangu umekua ukisimama kila mara, after ever few minutes lazima usimame, nikiona mwanamke mrembo tu, unasimama mpaka unauma, yaanimpaka naona hata aibu kusimama kama nilikau nimekaa in a public place..Ni taizo gani, hii ni kawaida, nitumie dawa gani upunguze kusimama?? kama ni tendo la ngono huwa nina kwenda round tano na kuendelea nahisi sipo sawa kiafya
wadau, huu uume wangu umekua ukisimama kila mara, after ever few minutes lazima usimame, nikiona mwanamke mrembo tu, unasimama mpaka unauma, yaanimpaka naona hata aibu kusimama kama nilikau nimekaa in a public place..Ni taizo gani, hii ni kawaida, nitumie dawa gani upunguze kusimama?? kama ni tendo la ngono huwa nina kwenda round tano na kuendelea nahisi sipo sawa kiafya
Mkuu Safari_ni_Safari hiyo ndio Lugha gani tena inglisi na kiswahili hicho ni cha wapi?UNUNULIE KITI UWE UNAKAA...........:caked:
Hilo gonjwa linaitwa Ngale pitia Ohio kila jion ukianza kuona dalili Dozi ni buku tano kwa tembe moja, maumivu yakizid waone wahaya! Ukiwa na kondom ya chuichui!
Mkuu Safari_ni_Safari hiyo ndio Lugha gani tena inglisi na kiswahili hicho ni cha wapi?
Nakolinga = I will want
Nakolala = I will sleep
Nakobina = I will dance
Nakolela = I will cry
Nakotala = I will look
Nakomona = I will see
Nakobala = I will marry
Na tatizo kubwa la wanaume wa kiafrika liko hapa. Mwanaume yeye anajali kufika kileleni kwa kumwaga hata mara tano, sita wakati partner wake hata ile cha kwanza hajapata. Mwanaume analazimika kutoka hapa kwa demu wake kwenda kuchapa mwingine wakati huyu aliyemwacha nyumbani hajamfikisha kileleni hata kidogo. Demu anabaki na hamu ya kuliwa ndipo hapa anapokuja mchimba mitaro, mtapisha vyoo, na muuza uzuri kujichapia kiulaini. Wewe siku unafunguka unaanza kumwita demu wako malaya kumbe kosa ni lako wewe mwenyewe (hujuwi kuridhisha). Mwanamke si wa kulaumiwa kwani mila za kwetu zilizopitwa na wakati zinasema au kuwafanya wanawake kuwa kimya hata kama hawaridhishwi na partner zao. Hili tatizo la premature ejaculation hapa Bongo linasumbua sana vijana na kina mama kwani wengi wao wanalalamika sana kutoridhishwa na wenza wao. Mheshimiwa waziri mtarajiwa MziziMkavu, unasemaje juu ya hili?