Nina tatizo la uume kusimama mara kwa mara?

Nina tatizo la uume kusimama mara kwa mara?

kibuyu kimejaa inatakiwa ukichuje kidogo,dawa yako nikulala na mwanamke mfululizo mwezi mzima utapona tu..kama kuongea unasimama romance si ndio uta mwaga kabisa..?
 
Uume wangu huwa unasimama ovyo pindi ninapoongea na msichana,hivyo kunipelekea kuwa na aibu hasa katika sherehe,JE TATIZO NI NINI?KARIBUNI WAKUU

tatizo lako ni dogo sana kama upo dar nenda corner bar utapata miujiza ya tatizo lako dude..
 
Mkuu tatizo unalo huja duu mda mrefu ndio maana inaonekana unangare sana wewe??

Angalia usije siku ukabaka bana
tafuta papuch uinyambue vya kutosha
 
huna tatizo,isipokuwa una"ubeku" nashauri utafute mwanamke wa kukuridhisha
 
Ili tatizo huwa linanitokea pia nami mara kwa mara pamoja na kwamba napata papuchi za kutosha.
 
unawaza sana uzinzi jaribu kuwa bize hata kama unaongea na mwananke usimwanalie sana sehemu zenye matamanio kama maziwa miguu last but not least wakimbie wadada usipende kuwa nao karibu alafu mche sana Mungu mtiini Mungu shetani atawakimbia
 
...kawaida ukishiba viungo vya uzazi vinakuwa na njaa.....ukiwa na njaa viungo vya uzazi vinakuwa vimeshiba...chaguamoja.....
 
Back
Top Bottom