Nina tatizo la uume kusimama mara kwa mara?

Hebu tupeni suluhjisho, ni wengi wana tatizo hili.
 
Asante Mwalimu kwa hili.Kuna vijana huwa wanajisifia humu kwamba wameenda mara 4,5,6 au zaidi.hawajui kwamba hiki sicho wanachotaka wapendwa wao.wapendwa wao wangetamani wafikishwe angalau hata mara moja tu.Kila siku wafika wewe tu, mwenzako afikishwe na nani,muuza urembo anayepita mtaani kwako?.
Mbona upo sawa tu. Kwa utaalamu wangu wa ngumbalu inaelekea wewe ndo kwanza umebalehe na ndiyo maana unachapa mpaka raundi tano za kihasara. Nasema hivi kwa sababu, katika hali ya kawaida mtu anayejuwa mchezo kitandani na kumfurahisha mwanamke haendi raundi zote hizi, it's not possible unless wewe ni bwana mdogo (miaka 15 - 27). Kawaida lika hili huwa halijuwi kufurahisha wanawake kwani wengi wao wanachapa to benefit themselves na ndiyo maana wanachapa mpaka raundi tano za hasara huku demu akiwa bado hajaridhika. Ila kama wewe ni zaidi ya hiyo miaka na dushelele lako linasimama kila dakika tano basi juwa wewe una nyege za nzi na unahitaji msaada toka mwa waziri mtarajiwa MziziMkavu. Subiri nimpigie simu aje hapa jukwaani!
 
Asante Mwalimu kwa hili.Kuna vijana huwa wanajisifia humu kwamba wameenda mara 4,5,6 au zaidi.hawajui kwamba hiki sicho wanachotaka wapendwa wao.wapendwa wao wangetamani wafikishwe angalau hata mara moja tu.Kila siku wafika wewe tu, mwenzako afikishwe na nani,muuza urembo anayepita mtaani kwako?.

Na tatizo kubwa la wanaume wa kiafrika liko hapa. Mwanaume yeye anajali kufika kileleni kwa kumwaga hata mara tano, sita wakati partner wake hata ile cha kwanza hajapata. Mwanaume analazimika kutoka hapa kwa demu wake kwenda kuchapa mwingine wakati huyu aliyemwacha nyumbani hajamfikisha kileleni hata kidogo. Demu anabaki na hamu ya kuliwa ndipo hapa anapokuja mchimba mitaro, mtapisha vyoo, na muuza uzuri kujichapia kiulaini. Wewe siku unafunguka unaanza kumwita demu wako malaya kumbe kosa ni lako wewe mwenyewe (hujuwi kuridhisha). Mwanamke si wa kulaumiwa kwani mila za kwetu zilizopitwa na wakati zinasema au kuwafanya wanawake kuwa kimya hata kama hawaridhishwi na partner zao. Hili tatizo la premature ejaculation hapa Bongo linasumbua sana vijana na kina mama kwani wengi wao wanalalamika sana kutoridhishwa na wenza wao. Mheshimiwa waziri mtarajiwa MziziMkavu, unasemaje juu ya hili?
 
Last edited by a moderator:
source please! naanza kuogopa ushauri wa hapa jf kama ndo hivyi, hapo nilizobold.au ndo maana ya negative advise lakini yeye anatatizo anataka msaada,positive advise ndo zinahitajika.
Mkuu ng`wana ong`wa kulwa itabidi uogope ushauri wa hapa Jf. kama haupo Serious kuuliza swali

utajibiwa kabla ulivyo uliza swali lako la pumba. Huyu mkuu.@mkaliwakitaa swali lake halina msingi wowote eti

uume wangu unasimamam kila wakati alitaka uume wake usisimame nini? Watu wana matatizo ya nguvu za

kiume yeye anaeleta matatizo ya kijinga? itabidi tumjibu kijinga jinga hivyo hivyo alivyo uliza ndivyo

atakavyojibiwa unasemaje Mkuu? Dawa ya uume kusimama kila unapowaona wanawake dawa yake tafuta

mke wa kuowa uwenae kila siku mke wako unafanya nae Sex Uume wako kusimama ovyo utakwisha kabisa.
 
Last edited by a moderator:
wadau, huu uume wangu umekua ukisimama kila mara, after ever few minutes lazima usimame, nikiona mwanamke mrembo tu, unasimama mpaka unauma, yaanimpaka naona hata aibu kusimama kama nilikau nimekaa in a public place..Ni taizo gani, hii ni kawaida, nitumie dawa gani upunguze kusimama?? kama ni tendo la ngono huwa nina kwenda round tano na kuendelea nahisi sipo sawa kiafya

Naomba unijibu swali hili ili niweze kukupatia ushauri.
Umeshawai kusimamisha huwo mlingoti wako kwenye maeneo haya; kanisani, msibani au mazoezini?
 
hongera kijana! kwa hesabu za haraka haraka inaonekana umri wako ndo badoo badooo, hivyo stimu iko juu! wakati wewe unatafuta ushauri wa jinsi ya kupunguza nguvu za kiume wengine wanatafuta ushauri wa kuongeza nguvu hizo! watalaam wa JF watuhabarishe mwanaume aliye normal inatakiwa awe na nguvu za kiume za jinsi gani?
 
dah! nimecheki ushauri unaopewa nadhani hakuna anaehisi unatatizo kama ambavyo wewe binafsi unadai.nakushauri uwe unavaa suruali za kadeti au jinsi ili inaposimama isitune saaaaaaaaana kiasi mpaka ikupotezee makofotability, pili jaribu kuwa mtu wa kontradikshen yaani uwe bize na kazi ama changamoto nyingine za kimaisha hii itapunguzaa mawazo ya ngomo kwenye ubongo wako, kuliko kukaaa tu kama mtoto wa mama asie na kazi
 
Mkuu ng`wana ong`wa kulwa itabidi uogope ushauri wa hapa Jf. kama haupo Serious kuuliza swali

utajibiwa kabla ulivyo uliza swali lako la pumba. Huyu mkuu.@mkaliwakitaa swali lake halina msingi wowote eti

uume wangu unasimamam kila wakati alitaka uume wake usisimame nini? Watu wana matatizo ya nguvu za

kiume yeye anaeleta matatizo ya kijinga? itabidi tumjibu kijinga jinga hivyo hivyo alivyo uliza ndivyo

atakavyojibiwa unasemaje Mkuu? Dawa ya uume kusimama kila unapowaona wanawake dawa yake tafuta

mke wa kuowa uwenae kila siku mke wako unafanya nae Sex Uume wako kusimama ovyo utakwisha kabisa.
Nimekupata kiongozi.
 
Wanaume wengi tumetokea huko bao nne nazaidi anaekataa anyoshe mkono. Huyu jamaa etu anasumbuliwa na ujana atakuwa mfu marajiwa mda si mlefu, kwakuwa naonabado anajisifia bora enzizetu hiikitu HIV ilikuwa kwenye radio na magazeti,sasahiviiko kwawatu
 
Mkali wa kitaa.!
Soma vitabu,magazine kwa wingi..fanya mazoezi ya kutosha itakusadia kuondokana na mawazo hayo yanakufanya usimame kila mara uonapo jinsia ke.
 
wadau, huu uume wangu umekua ukisimama kila mara, after ever few minutes lazima usimame, nikiona mwanamke mrembo tu, unasimama mpaka unauma, yaanimpaka naona hata aibu kusimama kama nilikau nimekaa in a public place..Ni taizo gani, hii ni kawaida, nitumie dawa gani upunguze kusimama?? kama ni tendo la ngono huwa nina kwenda round tano na kuendelea nahisi sipo sawa kiafya

Umeoa?
 
Una angalia filamu za x? If yes acha.. Zinachangia saana... or unaweza ukawa na hormone imbalance.. Fanya mazoez kwa wingi utakaa vzuri...
 
Mkuu, dawa ya hiyo kitu ni kumpata mwenza(mke) ambaye utakuwa naye muda wote na hapo ndipo kiu yako itaisha.
 
Hilo gonjwa linaitwa Ngale pitia Ohio kila jion ukianza kuona dalili Dozi ni buku tano kwa tembe moja, maumivu yakizid waone wahaya! Ukiwa na kondom ya chuichui!

tehe tehe tehe kwenye red color
 
Na tatizo kubwa la wanaume wa kiafrika liko hapa. Mwanaume yeye anajali kufika kileleni kwa kumwaga hata mara tano, sita wakati partner wake hata ile cha kwanza hajapata. Mwanaume analazimika kutoka hapa kwa demu wake kwenda kuchapa mwingine wakati huyu aliyemwacha nyumbani hajamfikisha kileleni hata kidogo. Demu anabaki na hamu ya kuliwa ndipo hapa anapokuja mchimba mitaro, mtapisha vyoo, na muuza uzuri kujichapia kiulaini. Wewe siku unafunguka unaanza kumwita demu wako malaya kumbe kosa ni lako wewe mwenyewe (hujuwi kuridhisha). Mwanamke si wa kulaumiwa kwani mila za kwetu zilizopitwa na wakati zinasema au kuwafanya wanawake kuwa kimya hata kama hawaridhishwi na partner zao. Hili tatizo la premature ejaculation hapa Bongo linasumbua sana vijana na kina mama kwani wengi wao wanalalamika sana kutoridhishwa na wenza wao. Mheshimiwa waziri mtarajiwa MziziMkavu, unasemaje juu ya hili?

nikikupata ww nahic nitafaid sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom