Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

ayo madude ni kama yana spirt za kishetani ndani yake sjui muanzilishi alitamka maneno Gani wakati anaanzisha .Mimi mwenyewe mwanamke mwenye izo kitu siwezi kuoa ata awe vipi
Siyo kama yana roho ya shetani ni roho halisi ya shetani.
 
Kwa bahati nilipata kacheo fulani hivi,
Kacheo ambako hutaki kukasema unaweza ukakuta ndiye baadhi ya mawaziri wetu walioteuliwa na mama.

Kumbuka kuwa kitendo ulichokifanya ni dhambi mbele ya Mungu na ni kitendo cha laana na laana yake ndio hiyo ulioanza kuipata.

Ushauri kwako unatakiwa umwombe msamaha kwanza Mungu akusamehe na kukuondolea laana hiyo halafu utakapompata mwanaume wa kweli atakayeonyesha nia ya kukuoa usimfiche hali yako mpaka usubiri aje ajionee mwenyewe siku atakapokuwa amekuoa.

Unatakiwa umweleze hali yako mapema kabla hajakuoa ili kama anakuoa ahiari mwenyewe kukuoa katika hali hiyohiyo.

Achana na tabia ya kumvulia nguo kila mwanaume anaeonekana mbele yako,ujue kuwa unapomvulia mwanaume wa kwanza ujue kuwa atakwenda kumsimulia mwanaume wa pill,watatu n.k kisha utakosa solo kabisaa.
 
Unaweza kuzifuta tatoo mbona hilo swala lipo wazi .

IPO dawa Kwa ajili ya Kazi Kama hizo na sio tatoo hata makovu , ikiwa kweli unafikiria kuondoa tatoo inawezekana.


Mimi ndugu zangu walikuwa na tatoo achana na hizo tatoo zenu za kibongo wao walikuwa na tatoo zile OG walichora walipoenda marekani kusoma .

Ila walipomaliza kuna sehemu zilipatikana Kazi zilifutwa zote

Na mmoja alichora katika paja Dada yangu na huyo bro yeye ilikuwa kwenye kifua na mkono.

So Dawa zipo za Asili kule Bukoba malaya wote wakichoka kujiuza na kudanga huwa wanakuja wanafuta tatoo na kuwekewa bikra fake na kusimamisha chuchu mpaka ukikutana nae unaoa

Mambo mengine is very easy and simple.
 
Mwanangu umeharibika.

Hata ajira tu hata scholarship tu hautakaa upate.
 
Bado sijawahi kumuelewa mtu anayechora tattoo either mwanaume au mwanamke , unaanzaje kujiwekea kitu ambacho ni permenent kwenye mwili wako?
 
Tattoo zinafutwa siku hizi.. tafuta hela uende kwa wataalam wa hizo mambo wakufutie.
Misconception mzee tattoo huwa hazifutwi kama tunavyoaminishwa ,labda nikuelezee the science behind .

Unapochora tattoo huwa unaingiza wino mzito kwenye ngozi ya kati (dermis layer of the skin) sasa kwa kuwa ni foreign object mwili wako utakuwa unajaribu kuitoa , na hapa mwili utatumia seli hai nyeupe kuimegua kidogo kidogo na kuipeleke kwenye ini ili baadae itolewe kwa njia ya choo ndiyo maana naturally tattoo huwa inafutika taratibu kadiri muda unavyokwenda .

Sasa unapoenda "kufuta tattoo" kama walivyoita ni kwamba inatumika miyonzi maalum ambayo inauvunja vunja ule wino kwenye vipande vidogo dogo ambavyo itakuwa rahisi kwa seli hai nyeupe kuvibeba kwa wingi na kupeleka kwenye ini hivyo huwa haifutiki papo hapo inachukia miaka mpaka kuondoka kabisa baada ya procedure , na ni very painful na expensive.
 
Chuoni kuna ujinga sana hasa Kwa watu wanaopenda kuiga or waliokua wanafungiwa majumbani,the best option ww tafuta mtoto uanze maisha yako as long as unakazi yako then move on,km atatokea wakukuoa fine,maisha ni mafupi sana na sura/wazo la kuolewa ww ndio linakutesa Si move one baby maisha mafupi saaaana,no more stress
 
Acha kupendana na walugaluga au hamia huku ughaibuni ambalo hakuna atakayeku-judge kwa sababu ya tattoo bali utakuwa judged kwa matendo na tabia zako.
 
Kuna theories watu wamejijengea kichwani kuhusu tattoo ila kama utafuatilia hazina ukweli wowote...hata ulaya watu wenye tattoo wanachukuliwa kama drug addicts...lakini umecheza humo humo na saikolojia za watu wakati kihistoria wewe ni mzushi na stori zako za kutunga sijui mnapata nini...
 
Una tattoo ngapi mpaka Sasa kama ni uzushi?
 
Ulichokiongea pia tunakiweka katika kundi la wazushi ....Dhambi ni dhambi tu usianze kuleta maneno ooh mtazamo wa wengine n.k hapa ameteleza
Kama umekiweka kundi la wazushi,good for you...sasa nikusaidiaje? Hovyoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…