Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kama yana roho ya shetani ni roho halisi ya shetani.ayo madude ni kama yana spirt za kishetani ndani yake sjui muanzilishi alitamka maneno Gani wakati anaanzisha .Mimi mwenyewe mwanamke mwenye izo kitu siwezi kuoa ata awe vipi
Hii Ni 100%Wanawake wengi wenye tattoo huwa hawana marinda...
Ulishachorwa ikashindwa kufutika?Ila tatto za tako zinasumbuaga sana kufutika .
Kacheo ambako hutaki kukasema unaweza ukakuta ndiye baadhi ya mawaziri wetu walioteuliwa na mama.Kwa bahati nilipata kacheo fulani hivi,
Huyo mfuta tattoo si ni kama mchora tattoo? Maana naye itabidi apate access ya kuona na ikinidi kuzitumia sehemu nyeti za bidadaTattoo zinafutwa siku hizi.. tafuta hela uende kwa wataalam wa hizo mambo wakufutie.
Bado sijawahi kumuelewa mtu anayechora tattoo either mwanaume au mwanamke , unaanzaje kujiwekea kitu ambacho ni permenent kwenye mwili wako?Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo linanichanganya mpaka sasa.
Kipindi hicho kuna mwanaume nilikutana naye, huyo akawa anachora tattoo. Hivyo aliponichora tattoo ya kwanza mkononi nikajikuta tumetamani ya kiunoni. Alituchora wote mimi na marafiki zangu. Kama unavyojua kuwa ukishaanza kuchora tattoo unakuwa kama teja, nilichora nyingine mapajani na nyingine akanichora kwenye makalio yote mawili. Kuna nyingine akanichora kwenye kitovu pia. Kipindi hicho sikuona shida kwani mwanaume niliyekuwa naye mbali na kwamba anachora tattoo, lakini yeye kajichora kila sehemu mpaka shingoni. Hivyo ni kitu ambacho wote tulikuwa tunapenda, na nilimwamini kuwa atakuwa mume wangu.
Baada ya kumaliza chuo mimi nilipata kazi Mwanza, ni kazi ya serikalini. Yeye nilimuacha Dar, ila tulikuwa tuna malengo ya kuoana na kila kitu kilikuwa tayari. Wakati niko huku ndipo nilianza kuona kuwa yule mwanaume hakuwa sahihi. Anavuta bangi, anakula unga, na nikifikiria hakuna kitu chochote ningefanya naye kimaisha kwani yeye hela yake ilikuwa inaishia club tu. Kwa bahati nilipata kacheo fulani hivi, kakanifanya kuheshimika zaidi. Hivyo nilipoona kuwa siwezi kutengeneza maisha naye kwani hata kuongozana naye ni shida na matattoo yanaonekana tofauti na yangu yako ndani kwa ndani.
Nilimtafutia sababu tukagombana, na nikalazimika kubadilisha mpaka namba za simu. Na kweli alinipotezea. Namuona tu mtandaoni sasa hivi bado anafanya hiyo kazi, ila ukimuangalia sasa ndipo naona kuwa hakuwa mtu sahihi. Baada ya hapo niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye tunafanya naye kazi. Mambo yalikuwa vizuri lakini siku ya kwanza tu kukutana naye kimwili nilipomvulia nguo alishutuka. Ilibidi nimwambie kuhusu kuchora tattoo na mambo niliyopitia. Alijifanya kunielewa lakini baada ya miezi miwili alinambia hapana, siwezi kuwa na wewe maana kila nikikuangalia akili yangu namuwaza mwanaume alikuchora matakoni.
Niliumia sana kwani nilishaanza kumpenda. Mahusiano mengine nayo yaliisha hivyo hivyo. Kwa kifupi ni kuwa kila mwanaume nikilala naye ananiona malaya. Nilianza mchakato wa kuziondoa lakini niliyemtafuta akanikosea. Mwisho zikabaki tu. Mwaka juzi niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja alionyesha kunipenda sana kwani yeye ndiye alikuwa ananihangaikia sana.
Kwa kuhofia kuja kuachika nilimwambia siwezi kufanya mapenzi mpaka ndoa, na kweli alinielewa. Akanambia yeye yuko kwangu kwa ajili ya ndoa, na kweli baada ya miezi 6 tu alikuja kwetu kujitambulisha. Mwezi wa 3 mwaka huu tulifunga ndoa, na siku niliyofunga naye ndoa ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwa yeye kuniona nikiwa uchi. Aliponiona tu jinsi nilivyo na matattoo, pozi lote lilimuishia. Alishindwa hata kufanya tendo la ndoa. Akanambia tusubiri tutafanya kesho.
Nilijaribu kumweleza kwanini nilichora hizo tattoo na sasa nimebadilika. Alionyesha kunielewa, lakini tangu kipindi hicho mume wangu ananiangalia kama malaya. Ananiona kama vile nilimdanganya. Amekuwa mtu wa hasira, kiasi kwamba hata kukutana kimwili ni ngumu. Nimejaribu kumpa muda ili azoee hii hali, lakini hataki. Wiki mbili zilizopita akanambia mimi naona utafute mtu ambaye mtaendana. Sijioni nikiwa mume wako.
Mimi naye hatuishi pamoja kwa sababu ya kazi. Hivyo baada ya kunambia hivyo akaniblock, na kila nikimtafuta ananambia tukae tu angalau ndoa ifikie miezi 6 ndiyo nidai talaka, kwani yeye hawezi kuendelea na mimi. Kaka, mimi si malaya ni makosa tu kidogo nilifanya. Najua nina tattoo nyingi na nimchora sehemu za siri, lakini hiyo haimaanishi kuwa mimi ni malaya au nilikuwa na wanaume wengi. Ni ujinga tu wa chuo na sijui nifanye nini?
Misconception mzee tattoo huwa hazifutwi kama tunavyoaminishwa ,labda nikuelezee the science behind .Tattoo zinafutwa siku hizi.. tafuta hela uende kwa wataalam wa hizo mambo wakufutie.
Chuoni kuna ujinga sana hasa Kwa watu wanaopenda kuiga or waliokua wanafungiwa majumbani,the best option ww tafuta mtoto uanze maisha yako as long as unakazi yako then move on,km atatokea wakukuoa fine,maisha ni mafupi sana na sura/wazo la kuolewa ww ndio linakutesa Si move one baby maisha mafupi saaaana,no more stressWakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo linanichanganya mpaka sasa.
Kipindi hicho kuna mwanaume nilikutana naye, huyo akawa anachora tattoo. Hivyo aliponichora tattoo ya kwanza mkononi nikajikuta tumetamani ya kiunoni. Alituchora wote mimi na marafiki zangu. Kama unavyojua kuwa ukishaanza kuchora tattoo unakuwa kama teja, nilichora nyingine mapajani na nyingine akanichora kwenye makalio yote mawili. Kuna nyingine akanichora kwenye kitovu pia. Kipindi hicho sikuona shida kwani mwanaume niliyekuwa naye mbali na kwamba anachora tattoo, lakini yeye kajichora kila sehemu mpaka shingoni. Hivyo ni kitu ambacho wote tulikuwa tunapenda, na nilimwamini kuwa atakuwa mume wangu.
Baada ya kumaliza chuo mimi nilipata kazi Mwanza, ni kazi ya serikalini. Yeye nilimuacha Dar, ila tulikuwa tuna malengo ya kuoana na kila kitu kilikuwa tayari. Wakati niko huku ndipo nilianza kuona kuwa yule mwanaume hakuwa sahihi. Anavuta bangi, anakula unga, na nikifikiria hakuna kitu chochote ningefanya naye kimaisha kwani yeye hela yake ilikuwa inaishia club tu. Kwa bahati nilipata kacheo fulani hivi, kakanifanya kuheshimika zaidi. Hivyo nilipoona kuwa siwezi kutengeneza maisha naye kwani hata kuongozana naye ni shida na matattoo yanaonekana tofauti na yangu yako ndani kwa ndani.
Nilimtafutia sababu tukagombana, na nikalazimika kubadilisha mpaka namba za simu. Na kweli alinipotezea. Namuona tu mtandaoni sasa hivi bado anafanya hiyo kazi, ila ukimuangalia sasa ndipo naona kuwa hakuwa mtu sahihi. Baada ya hapo niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye tunafanya naye kazi. Mambo yalikuwa vizuri lakini siku ya kwanza tu kukutana naye kimwili nilipomvulia nguo alishutuka. Ilibidi nimwambie kuhusu kuchora tattoo na mambo niliyopitia. Alijifanya kunielewa lakini baada ya miezi miwili alinambia hapana, siwezi kuwa na wewe maana kila nikikuangalia akili yangu namuwaza mwanaume alikuchora matakoni.
Niliumia sana kwani nilishaanza kumpenda. Mahusiano mengine nayo yaliisha hivyo hivyo. Kwa kifupi ni kuwa kila mwanaume nikilala naye ananiona malaya. Nilianza mchakato wa kuziondoa lakini niliyemtafuta akanikosea. Mwisho zikabaki tu. Mwaka juzi niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja alionyesha kunipenda sana kwani yeye ndiye alikuwa ananihangaikia sana.
Kwa kuhofia kuja kuachika nilimwambia siwezi kufanya mapenzi mpaka ndoa, na kweli alinielewa. Akanambia yeye yuko kwangu kwa ajili ya ndoa, na kweli baada ya miezi 6 tu alikuja kwetu kujitambulisha. Mwezi wa 3 mwaka huu tulifunga ndoa, na siku niliyofunga naye ndoa ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwa yeye kuniona nikiwa uchi. Aliponiona tu jinsi nilivyo na matattoo, pozi lote lilimuishia. Alishindwa hata kufanya tendo la ndoa. Akanambia tusubiri tutafanya kesho.
Nilijaribu kumweleza kwanini nilichora hizo tattoo na sasa nimebadilika. Alionyesha kunielewa, lakini tangu kipindi hicho mume wangu ananiangalia kama malaya. Ananiona kama vile nilimdanganya. Amekuwa mtu wa hasira, kiasi kwamba hata kukutana kimwili ni ngumu. Nimejaribu kumpa muda ili azoee hii hali, lakini hataki. Wiki mbili zilizopita akanambia mimi naona utafute mtu ambaye mtaendana. Sijioni nikiwa mume wako.
Mimi naye hatuishi pamoja kwa sababu ya kazi. Hivyo baada ya kunambia hivyo akaniblock, na kila nikimtafuta ananambia tukae tu angalau ndoa ifikie miezi 6 ndiyo nidai talaka, kwani yeye hawezi kuendelea na mimi. Kaka, mimi si malaya ni makosa tu kidogo nilifanya. Najua nina tattoo nyingi na nimchora sehemu za siri, lakini hiyo haimaanishi kuwa mimi ni malaya au nilikuwa na wanaume wengi. Ni ujinga tu wa chuo na sijui nifanye nini?
Acha uchokoUlishachorwa ikashindwa kufutika?
Acha kupendana na walugaluga au hamia huku ughaibuni ambalo hakuna atakayeku-judge kwa sababu ya tattoo bali utakuwa judged kwa matendo na tabia zako.Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo linanichanganya mpaka sasa.
Kipindi hicho kuna mwanaume nilikutana naye, huyo akawa anachora tattoo. Hivyo aliponichora tattoo ya kwanza mkononi nikajikuta tumetamani ya kiunoni. Alituchora wote mimi na marafiki zangu. Kama unavyojua kuwa ukishaanza kuchora tattoo unakuwa kama teja, nilichora nyingine mapajani na nyingine akanichora kwenye makalio yote mawili. Kuna nyingine akanichora kwenye kitovu pia. Kipindi hicho sikuona shida kwani mwanaume niliyekuwa naye mbali na kwamba anachora tattoo, lakini yeye kajichora kila sehemu mpaka shingoni. Hivyo ni kitu ambacho wote tulikuwa tunapenda, na nilimwamini kuwa atakuwa mume wangu.
Baada ya kumaliza chuo mimi nilipata kazi Mwanza, ni kazi ya serikalini. Yeye nilimuacha Dar, ila tulikuwa tuna malengo ya kuoana na kila kitu kilikuwa tayari. Wakati niko huku ndipo nilianza kuona kuwa yule mwanaume hakuwa sahihi. Anavuta bangi, anakula unga, na nikifikiria hakuna kitu chochote ningefanya naye kimaisha kwani yeye hela yake ilikuwa inaishia club tu. Kwa bahati nilipata kacheo fulani hivi, kakanifanya kuheshimika zaidi. Hivyo nilipoona kuwa siwezi kutengeneza maisha naye kwani hata kuongozana naye ni shida na matattoo yanaonekana tofauti na yangu yako ndani kwa ndani.
Nilimtafutia sababu tukagombana, na nikalazimika kubadilisha mpaka namba za simu. Na kweli alinipotezea. Namuona tu mtandaoni sasa hivi bado anafanya hiyo kazi, ila ukimuangalia sasa ndipo naona kuwa hakuwa mtu sahihi. Baada ya hapo niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye tunafanya naye kazi. Mambo yalikuwa vizuri lakini siku ya kwanza tu kukutana naye kimwili nilipomvulia nguo alishutuka. Ilibidi nimwambie kuhusu kuchora tattoo na mambo niliyopitia. Alijifanya kunielewa lakini baada ya miezi miwili alinambia hapana, siwezi kuwa na wewe maana kila nikikuangalia akili yangu namuwaza mwanaume alikuchora matakoni.
Niliumia sana kwani nilishaanza kumpenda. Mahusiano mengine nayo yaliisha hivyo hivyo. Kwa kifupi ni kuwa kila mwanaume nikilala naye ananiona malaya. Nilianza mchakato wa kuziondoa lakini niliyemtafuta akanikosea. Mwisho zikabaki tu. Mwaka juzi niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja alionyesha kunipenda sana kwani yeye ndiye alikuwa ananihangaikia sana.
Kwa kuhofia kuja kuachika nilimwambia siwezi kufanya mapenzi mpaka ndoa, na kweli alinielewa. Akanambia yeye yuko kwangu kwa ajili ya ndoa, na kweli baada ya miezi 6 tu alikuja kwetu kujitambulisha. Mwezi wa 3 mwaka huu tulifunga ndoa, na siku niliyofunga naye ndoa ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwa yeye kuniona nikiwa uchi. Aliponiona tu jinsi nilivyo na matattoo, pozi lote lilimuishia. Alishindwa hata kufanya tendo la ndoa. Akanambia tusubiri tutafanya kesho.
Nilijaribu kumweleza kwanini nilichora hizo tattoo na sasa nimebadilika. Alionyesha kunielewa, lakini tangu kipindi hicho mume wangu ananiangalia kama malaya. Ananiona kama vile nilimdanganya. Amekuwa mtu wa hasira, kiasi kwamba hata kukutana kimwili ni ngumu. Nimejaribu kumpa muda ili azoee hii hali, lakini hataki. Wiki mbili zilizopita akanambia mimi naona utafute mtu ambaye mtaendana. Sijioni nikiwa mume wako.
Mimi naye hatuishi pamoja kwa sababu ya kazi. Hivyo baada ya kunambia hivyo akaniblock, na kila nikimtafuta ananambia tukae tu angalau ndoa ifikie miezi 6 ndiyo nidai talaka, kwani yeye hawezi kuendelea na mimi. Kaka, mimi si malaya ni makosa tu kidogo nilifanya. Najua nina tattoo nyingi na nimchora sehemu za siri, lakini hiyo haimaanishi kuwa mimi ni malaya au nilikuwa na wanaume wengi. Ni ujinga tu wa chuo na sijui nifanye nini?
Una tattoo ngapi mpaka Sasa kama ni uzushi?Kuna theories watu wamejijengea kichwani kuhusu tattoo ila kama utafuatilia hazina ukweli wowote...hata ulaya watu wenye tattoo wanachukuliwa kama drug addicts...lakini umecheza humo humo na saikolojia za watu wakati kihistoria wewe ni mzushi na stori zako za kutunga sijui mnapata nini...
Kumi!!!!Una tattoo ngapi mpaka Sasa kama ni uzushi?
Ulichokiongea pia tunakiweka katika kundi la wazushi ....Dhambi ni dhambi tu usianze kuleta maneno ooh mtazamo wa wengine n.k hapa ametelezaKumi!!!!
Kama umekiweka kundi la wazushi,good for you...sasa nikusaidiaje? HovyooooUlichokiongea pia tunakiweka katika kundi la wazushi ....Dhambi ni dhambi tu usianze kuleta maneno ooh mtazamo wa wengine n.k hapa ameteleza