Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

Mwamba ameandika jina lake humo..
 
Huyo ni Malaya tu.
 
Mleta usi kama ulitaka kuchora tattoo, basi umeshapata majibu,
Kuhusu hayo mengine, mtajua wenyewe
 
Aisee njoo kwangu mie nakupenda hivyo hivyo na tattoo zako.
Achana na hao wanaume washamba wana judge mwanamke hovyo hovyo
 
Ukichora na kwenye nyapi uje nikuoe, Sawa bebe?
 
Sasa watafanyaje, maana hata mabikra nao huchangamkia ndani ya ndoa...mafundi umeme,wapaka rangi kucha,mahouseboy wanajipigia tu.

Yaan kote kugumu mkuu,dunia imechangamka kweli
Mie nasema tugegedana tuu tuenjoy.
 
Umenikumbusha mama yangu ,kuna wanawake alikuwa akiwaona kwenye TV ananiambia na wewe uje uniletee kama huyo .Useme ndio unataka awe mke wako.
Mazeri kakupiga biti mapemaaaa
 
Reactions: EEX
Wanawake wakiwa kwenye ujana wao ni wapumbavu sana, huwa wanafanya chochote bila kujali matokeo yake, ujana ukiisha ndio majuto kama haya huanza, mwanamke mchora Tattoo ni malaya kwasababu huwezi kuchora tattoo sehemu za siri ukabak salama
Hii ni Chai lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…