Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Ww ndio wa hovyo hovyo kabisa,huna tattoo alafu unamwambia mwenzako kuwa na tatoo sio jambo baya ...Kama umekiweka kundi la wazushi,good for you...sasa nikusaidiaje? Hovyoooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww ndio wa hovyo hovyo kabisa,huna tattoo alafu unamwambia mwenzako kuwa na tatoo sio jambo baya ...Kama umekiweka kundi la wazushi,good for you...sasa nikusaidiaje? Hovyoooo
Bwana wewe niache, umejuaje sina tattoo...kama una yako sema...msonyooooWw ndio wa hovyo hovyo kabisa,huna tattoo alafu unamwambia mwenzako kuwa na tatoo sio jambo baya ...
Mwamba ameandika jina lake humo..Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo linanichanganya mpaka sasa.
Kipindi hicho kuna mwanaume nilikutana naye, huyo akawa anachora tattoo. Hivyo aliponichora tattoo ya kwanza mkononi nikajikuta tumetamani ya kiunoni. Alituchora wote mimi na marafiki zangu. Kama unavyojua kuwa ukishaanza kuchora tattoo unakuwa kama teja, nilichora nyingine mapajani na nyingine akanichora kwenye makalio yote mawili. Kuna nyingine akanichora kwenye kitovu pia. Kipindi hicho sikuona shida kwani mwanaume niliyekuwa naye mbali na kwamba anachora tattoo, lakini yeye kajichora kila sehemu mpaka shingoni. Hivyo ni kitu ambacho wote tulikuwa tunapenda, na nilimwamini kuwa atakuwa mume wangu.
Baada ya kumaliza chuo mimi nilipata kazi Mwanza, ni kazi ya serikalini. Yeye nilimuacha Dar, ila tulikuwa tuna malengo ya kuoana na kila kitu kilikuwa tayari. Wakati niko huku ndipo nilianza kuona kuwa yule mwanaume hakuwa sahihi. Anavuta bangi, anakula unga, na nikifikiria hakuna kitu chochote ningefanya naye kimaisha kwani yeye hela yake ilikuwa inaishia club tu. Kwa bahati nilipata kacheo fulani hivi, kakanifanya kuheshimika zaidi. Hivyo nilipoona kuwa siwezi kutengeneza maisha naye kwani hata kuongozana naye ni shida na matattoo yanaonekana tofauti na yangu yako ndani kwa ndani.
Nilimtafutia sababu tukagombana, na nikalazimika kubadilisha mpaka namba za simu. Na kweli alinipotezea. Namuona tu mtandaoni sasa hivi bado anafanya hiyo kazi, ila ukimuangalia sasa ndipo naona kuwa hakuwa mtu sahihi. Baada ya hapo niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye tunafanya naye kazi. Mambo yalikuwa vizuri lakini siku ya kwanza tu kukutana naye kimwili nilipomvulia nguo alishutuka. Ilibidi nimwambie kuhusu kuchora tattoo na mambo niliyopitia. Alijifanya kunielewa lakini baada ya miezi miwili alinambia hapana, siwezi kuwa na wewe maana kila nikikuangalia akili yangu namuwaza mwanaume alikuchora matakoni.
Niliumia sana kwani nilishaanza kumpenda. Mahusiano mengine nayo yaliisha hivyo hivyo. Kwa kifupi ni kuwa kila mwanaume nikilala naye ananiona malaya. Nilianza mchakato wa kuziondoa lakini niliyemtafuta akanikosea. Mwisho zikabaki tu. Mwaka juzi niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja alionyesha kunipenda sana kwani yeye ndiye alikuwa ananihangaikia sana.
Kwa kuhofia kuja kuachika nilimwambia siwezi kufanya mapenzi mpaka ndoa, na kweli alinielewa. Akanambia yeye yuko kwangu kwa ajili ya ndoa, na kweli baada ya miezi 6 tu alikuja kwetu kujitambulisha. Mwezi wa 3 mwaka huu tulifunga ndoa, na siku niliyofunga naye ndoa ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwa yeye kuniona nikiwa uchi. Aliponiona tu jinsi nilivyo na matattoo, pozi lote lilimuishia. Alishindwa hata kufanya tendo la ndoa. Akanambia tusubiri tutafanya kesho.
Nilijaribu kumweleza kwanini nilichora hizo tattoo na sasa nimebadilika. Alionyesha kunielewa, lakini tangu kipindi hicho mume wangu ananiangalia kama malaya. Ananiona kama vile nilimdanganya. Amekuwa mtu wa hasira, kiasi kwamba hata kukutana kimwili ni ngumu. Nimejaribu kumpa muda ili azoee hii hali, lakini hataki. Wiki mbili zilizopita akanambia mimi naona utafute mtu ambaye mtaendana. Sijioni nikiwa mume wako.
Mimi naye hatuishi pamoja kwa sababu ya kazi. Hivyo baada ya kunambia hivyo akaniblock, na kila nikimtafuta ananambia tukae tu angalau ndoa ifikie miezi 6 ndiyo nidai talaka, kwani yeye hawezi kuendelea na mimi. Kaka, mimi si malaya ni makosa tu kidogo nilifanya. Najua nina tattoo nyingi na nimchora sehemu za siri, lakini hiyo haimaanishi kuwa mimi ni malaya au nilikuwa na wanaume wengi. Ni ujinga tu wa chuo na sijui nifanye nini?
Mhehama nayo etiKama unaweza kuwa na tatoo makalioni isitoshe kusema ww ni malaya na unatumika pia na mtandao wa Yas.
Huyo ni Malaya tu.Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo linanichanganya mpaka sasa.
Kipindi hicho kuna mwanaume nilikutana naye, huyo akawa anachora tattoo. Hivyo aliponichora tattoo ya kwanza mkononi nikajikuta tumetamani ya kiunoni. Alituchora wote mimi na marafiki zangu. Kama unavyojua kuwa ukishaanza kuchora tattoo unakuwa kama teja, nilichora nyingine mapajani na nyingine akanichora kwenye makalio yote mawili. Kuna nyingine akanichora kwenye kitovu pia. Kipindi hicho sikuona shida kwani mwanaume niliyekuwa naye mbali na kwamba anachora tattoo, lakini yeye kajichora kila sehemu mpaka shingoni. Hivyo ni kitu ambacho wote tulikuwa tunapenda, na nilimwamini kuwa atakuwa mume wangu.
Baada ya kumaliza chuo mimi nilipata kazi Mwanza, ni kazi ya serikalini. Yeye nilimuacha Dar, ila tulikuwa tuna malengo ya kuoana na kila kitu kilikuwa tayari. Wakati niko huku ndipo nilianza kuona kuwa yule mwanaume hakuwa sahihi. Anavuta bangi, anakula unga, na nikifikiria hakuna kitu chochote ningefanya naye kimaisha kwani yeye hela yake ilikuwa inaishia club tu. Kwa bahati nilipata kacheo fulani hivi, kakanifanya kuheshimika zaidi. Hivyo nilipoona kuwa siwezi kutengeneza maisha naye kwani hata kuongozana naye ni shida na matattoo yanaonekana tofauti na yangu yako ndani kwa ndani.
Nilimtafutia sababu tukagombana, na nikalazimika kubadilisha mpaka namba za simu. Na kweli alinipotezea. Namuona tu mtandaoni sasa hivi bado anafanya hiyo kazi, ila ukimuangalia sasa ndipo naona kuwa hakuwa mtu sahihi. Baada ya hapo niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye tunafanya naye kazi. Mambo yalikuwa vizuri lakini siku ya kwanza tu kukutana naye kimwili nilipomvulia nguo alishutuka. Ilibidi nimwambie kuhusu kuchora tattoo na mambo niliyopitia. Alijifanya kunielewa lakini baada ya miezi miwili alinambia hapana, siwezi kuwa na wewe maana kila nikikuangalia akili yangu namuwaza mwanaume alikuchora matakoni.
Niliumia sana kwani nilishaanza kumpenda. Mahusiano mengine nayo yaliisha hivyo hivyo. Kwa kifupi ni kuwa kila mwanaume nikilala naye ananiona malaya. Nilianza mchakato wa kuziondoa lakini niliyemtafuta akanikosea. Mwisho zikabaki tu. Mwaka juzi niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja alionyesha kunipenda sana kwani yeye ndiye alikuwa ananihangaikia sana.
Kwa kuhofia kuja kuachika nilimwambia siwezi kufanya mapenzi mpaka ndoa, na kweli alinielewa. Akanambia yeye yuko kwangu kwa ajili ya ndoa, na kweli baada ya miezi 6 tu alikuja kwetu kujitambulisha. Mwezi wa 3 mwaka huu tulifunga ndoa, na siku niliyofunga naye ndoa ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwa yeye kuniona nikiwa uchi. Aliponiona tu jinsi nilivyo na matattoo, pozi lote lilimuishia. Alishindwa hata kufanya tendo la ndoa. Akanambia tusubiri tutafanya kesho.
Nilijaribu kumweleza kwanini nilichora hizo tattoo na sasa nimebadilika. Alionyesha kunielewa, lakini tangu kipindi hicho mume wangu ananiangalia kama malaya. Ananiona kama vile nilimdanganya. Amekuwa mtu wa hasira, kiasi kwamba hata kukutana kimwili ni ngumu. Nimejaribu kumpa muda ili azoee hii hali, lakini hataki. Wiki mbili zilizopita akanambia mimi naona utafute mtu ambaye mtaendana. Sijioni nikiwa mume wako.
Mimi naye hatuishi pamoja kwa sababu ya kazi. Hivyo baada ya kunambia hivyo akaniblock, na kila nikimtafuta ananambia tukae tu angalau ndoa ifikie miezi 6 ndiyo nidai talaka, kwani yeye hawezi kuendelea na mimi. Kaka, mimi si malaya ni makosa tu kidogo nilifanya. Najua nina tattoo nyingi na nimchora sehemu za siri, lakini hiyo haimaanishi kuwa mimi ni malaya au nilikuwa na wanaume wengi. Ni ujinga tu wa chuo na sijui nifanye nini?
Ona hiiHuyu aliyeandika sielewi jinsia yake maana kuna siku aliandika uzi akiwa kama ME itabidi nmshawishi aokoke Visije mpanda kichwani
huna ndio ,Maana una hangaika kama maharage yanayoivaBwana wewe niache, umejuaje sina tattoo...kama una yako sema...msonyoooo
Mimi nahangaika au ni wewe ndio unahangaika...kuna cases kibao ulaya tattooed people wanaface unlawful discrimination, sasa hutaki au?huna ndio ,Maana una hangaika kama maharage yanayoiva
Aisee njoo kwangu mie nakupenda hivyo hivyo na tattoo zako.Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo linanichanganya mpaka sasa.
Kipindi hicho kuna mwanaume nilikutana naye, huyo akawa anachora tattoo. Hivyo aliponichora tattoo ya kwanza mkononi nikajikuta tumetamani ya kiunoni. Alituchora wote mimi na marafiki zangu. Kama unavyojua kuwa ukishaanza kuchora tattoo unakuwa kama teja, nilichora nyingine mapajani na nyingine akanichora kwenye makalio yote mawili. Kuna nyingine akanichora kwenye kitovu pia. Kipindi hicho sikuona shida kwani mwanaume niliyekuwa naye mbali na kwamba anachora tattoo, lakini yeye kajichora kila sehemu mpaka shingoni. Hivyo ni kitu ambacho wote tulikuwa tunapenda, na nilimwamini kuwa atakuwa mume wangu.
Baada ya kumaliza chuo mimi nilipata kazi Mwanza, ni kazi ya serikalini. Yeye nilimuacha Dar, ila tulikuwa tuna malengo ya kuoana na kila kitu kilikuwa tayari. Wakati niko huku ndipo nilianza kuona kuwa yule mwanaume hakuwa sahihi. Anavuta bangi, anakula unga, na nikifikiria hakuna kitu chochote ningefanya naye kimaisha kwani yeye hela yake ilikuwa inaishia club tu. Kwa bahati nilipata kacheo fulani hivi, kakanifanya kuheshimika zaidi. Hivyo nilipoona kuwa siwezi kutengeneza maisha naye kwani hata kuongozana naye ni shida na matattoo yanaonekana tofauti na yangu yako ndani kwa ndani.
Nilimtafutia sababu tukagombana, na nikalazimika kubadilisha mpaka namba za simu. Na kweli alinipotezea. Namuona tu mtandaoni sasa hivi bado anafanya hiyo kazi, ila ukimuangalia sasa ndipo naona kuwa hakuwa mtu sahihi. Baada ya hapo niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye tunafanya naye kazi. Mambo yalikuwa vizuri lakini siku ya kwanza tu kukutana naye kimwili nilipomvulia nguo alishutuka. Ilibidi nimwambie kuhusu kuchora tattoo na mambo niliyopitia. Alijifanya kunielewa lakini baada ya miezi miwili alinambia hapana, siwezi kuwa na wewe maana kila nikikuangalia akili yangu namuwaza mwanaume alikuchora matakoni.
Niliumia sana kwani nilishaanza kumpenda. Mahusiano mengine nayo yaliisha hivyo hivyo. Kwa kifupi ni kuwa kila mwanaume nikilala naye ananiona malaya. Nilianza mchakato wa kuziondoa lakini niliyemtafuta akanikosea. Mwisho zikabaki tu. Mwaka juzi niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja alionyesha kunipenda sana kwani yeye ndiye alikuwa ananihangaikia sana.
Kwa kuhofia kuja kuachika nilimwambia siwezi kufanya mapenzi mpaka ndoa, na kweli alinielewa. Akanambia yeye yuko kwangu kwa ajili ya ndoa, na kweli baada ya miezi 6 tu alikuja kwetu kujitambulisha. Mwezi wa 3 mwaka huu tulifunga ndoa, na siku niliyofunga naye ndoa ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwa yeye kuniona nikiwa uchi. Aliponiona tu jinsi nilivyo na matattoo, pozi lote lilimuishia. Alishindwa hata kufanya tendo la ndoa. Akanambia tusubiri tutafanya kesho.
Nilijaribu kumweleza kwanini nilichora hizo tattoo na sasa nimebadilika. Alionyesha kunielewa, lakini tangu kipindi hicho mume wangu ananiangalia kama malaya. Ananiona kama vile nilimdanganya. Amekuwa mtu wa hasira, kiasi kwamba hata kukutana kimwili ni ngumu. Nimejaribu kumpa muda ili azoee hii hali, lakini hataki. Wiki mbili zilizopita akanambia mimi naona utafute mtu ambaye mtaendana. Sijioni nikiwa mume wako.
Mimi naye hatuishi pamoja kwa sababu ya kazi. Hivyo baada ya kunambia hivyo akaniblock, na kila nikimtafuta ananambia tukae tu angalau ndoa ifikie miezi 6 ndiyo nidai talaka, kwani yeye hawezi kuendelea na mimi. Kaka, mimi si malaya ni makosa tu kidogo nilifanya. Najua nina tattoo nyingi na nimchora sehemu za siri, lakini hiyo haimaanishi kuwa mimi ni malaya au nilikuwa na wanaume wengi. Ni ujinga tu wa chuo na sijui nifanye nini?
Ukichora na kwenye nyapi uje nikuoe, Sawa bebe?Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo linanichanganya mpaka sasa.
Kipindi hicho kuna mwanaume nilikutana naye, huyo akawa anachora tattoo. Hivyo aliponichora tattoo ya kwanza mkononi nikajikuta tumetamani ya kiunoni. Alituchora wote mimi na marafiki zangu. Kama unavyojua kuwa ukishaanza kuchora tattoo unakuwa kama teja, nilichora nyingine mapajani na nyingine akanichora kwenye makalio yote mawili. Kuna nyingine akanichora kwenye kitovu pia. Kipindi hicho sikuona shida kwani mwanaume niliyekuwa naye mbali na kwamba anachora tattoo, lakini yeye kajichora kila sehemu mpaka shingoni. Hivyo ni kitu ambacho wote tulikuwa tunapenda, na nilimwamini kuwa atakuwa mume wangu.
Baada ya kumaliza chuo mimi nilipata kazi Mwanza, ni kazi ya serikalini. Yeye nilimuacha Dar, ila tulikuwa tuna malengo ya kuoana na kila kitu kilikuwa tayari. Wakati niko huku ndipo nilianza kuona kuwa yule mwanaume hakuwa sahihi. Anavuta bangi, anakula unga, na nikifikiria hakuna kitu chochote ningefanya naye kimaisha kwani yeye hela yake ilikuwa inaishia club tu. Kwa bahati nilipata kacheo fulani hivi, kakanifanya kuheshimika zaidi. Hivyo nilipoona kuwa siwezi kutengeneza maisha naye kwani hata kuongozana naye ni shida na matattoo yanaonekana tofauti na yangu yako ndani kwa ndani.
Nilimtafutia sababu tukagombana, na nikalazimika kubadilisha mpaka namba za simu. Na kweli alinipotezea. Namuona tu mtandaoni sasa hivi bado anafanya hiyo kazi, ila ukimuangalia sasa ndipo naona kuwa hakuwa mtu sahihi. Baada ya hapo niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye tunafanya naye kazi. Mambo yalikuwa vizuri lakini siku ya kwanza tu kukutana naye kimwili nilipomvulia nguo alishutuka. Ilibidi nimwambie kuhusu kuchora tattoo na mambo niliyopitia. Alijifanya kunielewa lakini baada ya miezi miwili alinambia hapana, siwezi kuwa na wewe maana kila nikikuangalia akili yangu namuwaza mwanaume alikuchora matakoni.
Niliumia sana kwani nilishaanza kumpenda. Mahusiano mengine nayo yaliisha hivyo hivyo. Kwa kifupi ni kuwa kila mwanaume nikilala naye ananiona malaya. Nilianza mchakato wa kuziondoa lakini niliyemtafuta akanikosea. Mwisho zikabaki tu. Mwaka juzi niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja alionyesha kunipenda sana kwani yeye ndiye alikuwa ananihangaikia sana.
Kwa kuhofia kuja kuachika nilimwambia siwezi kufanya mapenzi mpaka ndoa, na kweli alinielewa. Akanambia yeye yuko kwangu kwa ajili ya ndoa, na kweli baada ya miezi 6 tu alikuja kwetu kujitambulisha. Mwezi wa 3 mwaka huu tulifunga ndoa, na siku niliyofunga naye ndoa ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwa yeye kuniona nikiwa uchi. Aliponiona tu jinsi nilivyo na matattoo, pozi lote lilimuishia. Alishindwa hata kufanya tendo la ndoa. Akanambia tusubiri tutafanya kesho.
Nilijaribu kumweleza kwanini nilichora hizo tattoo na sasa nimebadilika. Alionyesha kunielewa, lakini tangu kipindi hicho mume wangu ananiangalia kama malaya. Ananiona kama vile nilimdanganya. Amekuwa mtu wa hasira, kiasi kwamba hata kukutana kimwili ni ngumu. Nimejaribu kumpa muda ili azoee hii hali, lakini hataki. Wiki mbili zilizopita akanambia mimi naona utafute mtu ambaye mtaendana. Sijioni nikiwa mume wako.
Mimi naye hatuishi pamoja kwa sababu ya kazi. Hivyo baada ya kunambia hivyo akaniblock, na kila nikimtafuta ananambia tukae tu angalau ndoa ifikie miezi 6 ndiyo nidai talaka, kwani yeye hawezi kuendelea na mimi. Kaka, mimi si malaya ni makosa tu kidogo nilifanya. Najua nina tattoo nyingi na nimchora sehemu za siri, lakini hiyo haimaanishi kuwa mimi ni malaya au nilikuwa na wanaume wengi. Ni ujinga tu wa chuo na sijui nifanye nini?
Ndio hivyo no way outHuyo mfuta tattoo si ni kama mchora tattoo? Maana naye itabidi apate access ya kuona na ikinidi kuzitumia sehemu nyeti za bidada
Mie nasema tugegedana tuu tuenjoy.Sasa watafanyaje, maana hata mabikra nao huchangamkia ndani ya ndoa...mafundi umeme,wapaka rangi kucha,mahouseboy wanajipigia tu.
Yaan kote kugumu mkuu,dunia imechangamka kweli
Alafu kuna li simp litamuoaTattoo zinafutwa siku hizi.. tafuta hela uende kwa wataalam wa hizo mambo wakufutie.
Mazeri kakupiga biti mapemaaaaUmenikumbusha mama yangu ,kuna wanawake alikuwa akiwaona kwenye TV ananiambia na wewe uje uniletee kama huyo .Useme ndio unataka awe mke wako.
Hii ni Chai lakiniWanawake wakiwa kwenye ujana wao ni wapumbavu sana, huwa wanafanya chochote bila kujali matokeo yake, ujana ukiisha ndio majuto kama haya huanza, mwanamke mchora Tattoo ni malaya kwasababu huwezi kuchora tattoo sehemu za siri ukabak salama