Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

Aiseee kama hichi kisa ni cha kweli huyo jamaa aliyesubirishwa hadi ndoa ndio akapewa mzigo, Ametapeliwa na kuuziwa mbuzi kwenye gunia.

Yani kanunua makombo yenye shombo!!

Nimepata hasira sana mkuu.

Huyo jamaa kahujumiwa.
Inabidi jamaa alipwe mahali, alafu mwanamke used anakuambiaje eti mpaka ndoa ndio umle? Kama anajua haifai kuliwa kabla ya ndoa kwanini aliekubali kubikiriwa
 
MWANAUME ATAKUACHA WEWE MWENYE TATTOO KWA KUHOFIA TU KAMA ULIKUWA MALAYA KUPITILIZA, THEN ATAENDA KUOA KENGE ASIYEKUWA NA TATTOO ILA KAPITIA MENGI MARA TANO YA WEWE MWENYE TATTOO🤔
BINAFSI NAPENDA KUOA MWANAMKE KAMA WEWE ULIYEPITIA UJINGA MWINGI UKAONA HAUNA MAANA UKAACHA NA KUTULIA,
ILA YULE ASIYEPITIA CHOCHOTE HUWA ANAPITIA UJINGA WA KILA AINA AKIWA NDANI YA NDOA😡
KWANGU MIMI UNANAFASI, NAPENDA MWANAMKE WA AINA YAKO UKIZINGATIA MIMI NIMEPITIA MENGI ZAIDI KIASI CHA KWAMBA HAUWEZI KUNIFIKIA💞
 
Kwani Tattoo zina shida gani?
Itakua wewe ni Mbovu au sio mtamu.
Mbona hizo ni mistake ndogo ndogo tu za kitamaduni yaani huna tofauti na mwenye Chale bhana.
 
Rudiana na yule mvuta bhangi aliyekuchora.. hiyo sifa ya matatoo imeondoa kabisa sifa ya wife material.. hakuna mwanaume atavumia na hayo mamichoro yako ....
 
Ukikutana na demu mwenye tatoo muweke doggy style chunguza marida, hawana marinda hao toka nduki kama kibaka anaekimbizwa
 
Nakshi nakishi matako unamnakishia nani azione

Hivi vidada vikiwa kwenye Age fulani havitaki kushauliwa wala kusikia lolote la mkubwa, sa hizi yamemfika ndo anahitaji ushauri wakati anataka kuchora hizo chata za kimalaya hakuomba ushauri
 
Hebu tuambie kwanza hiyo tatoo kwenye makalio mwamba alichora kitu gani? ... isije ikawa unapicha ya mtaimbo huko nyuma halafu unategemea uonekane innocent!!!
 
Mchorwa tatuu, potassium yako mhuni kaipiga hadi inatoa upepo halafu unakuja kumuwekea mtu mashart ya kishenz., eti no sex untili merrieji
 
Unahitaji msaada wa kisaikolojia…njoo inbox mama
 
Tatoo ilivyonifanya nikakosa kazi ya jeshi. Mazoezi yangu yote yakaishia kufunga ng'ombe tu
 
Aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…