Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

Ulikojoa😂😂😂😂
 
Huyu mwanamke ni mhuni tu na inavyo onekana ni nature yake tu, mtu ambaye Hana aibu juu ya mwili wake ni Malaya tu.

Limeruka huko Sasa baada ya kupiga 30 ndiyo akili inarudi
 
Hawa huwa wanaangalia wanaume dhaifu wasio jielewa. yaani mimi siku na usiku huohuo namuita mshenga wake kishaa namambia awaite wazazi wake wamuangalia kisha waondoke nae hata kama wamelewa. Nahii itanipa heshima kuwa mwamba ana msimo thabiti haswaa. Mwanamke mwenye Tattoo swala la kiota kutokikuta wala sio la kuuliza hilo hadi Big Boom karamba na kuinyonya hadi shinani
 
Ila alijichanganya sana kufikilia kuolewa na muuza unga mkuu mvuta bangi kweli akili zipo matakoni kwake saiv amtaki mchora tatoo
Japo ni chai ila Kuna vitu ukivifanya usisimulie. Niliwahi kudate mtumishi Moja, siku Moja akanisimulia jinsi jamaa yake alivyomvuruga Yass; japo lengo lake lilikuwa nikunijulisha mapema ili siku nikigumdua marinda hakuna nisishangae kumbe ndio alikuwa ananifukuza kabisa. Yaani nilikata mawasiliano kesho yake.l
 
Okay tu assume umebadilika, sasausifanye kama ulivyo mfanyia huyo jamaa. Mpe mtu brief kuwa una changamoto siku za nyuma ulichora tattoo mpaka maeneo ya siri, jitetee kuwa umewahi kuwa na mahusiano mbalimbali lakini umebadilika. Kisha umuache mtu akufatilie ajiridhishe.

Sio hapa unatuambia ulifanya mambo mengi ya hovyo na rafiki zako lakini haukuwa malaya, ni kweli lakini malaya huwa sometimes hajui kama anafanya umalaya, labda akiona wanaojiuza ndio anaamini wale ndio malaya.

Hata sisi wanaume huwa tunaona kama tumetoka na wanawake wachache sana, 20, 10 au 80... wakati watu wanafikisha 1000, au wanasahau hata idadi. Mpaka mdada akimfananisha, kama kama nakufananisha, mtu anajibu staright SIO MIMI,bila kuuliza na nani, au tulionana wapi.
 
Tattoo kwenye maeneo muhimu zinakutambulisha namna ulivyotumika vibaya kwenye usichana.
Pole sana.
Kuna siku utampata anaye fanana nawe
 
Najua nina tattoo nyingi na nimchora sehemu za siri, lakini hiyo haimaanishi kuwa mimi ni malaya au nilikuwa na wanaume wengi. Ni ujinga tu wa chuo na sijui nifanye nini?
Njoo PM kuna Wanaume bado hawajaoa huku kwa sharti moja tu usiwe ombaomba wa Hela km unajielewa wewe sio ombaomba wa Hela zama ndichi acha namba ushauri huo nimekupa mengine jiongeze akimwaga ugali tunamwaga mchuzi na mboga yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…