Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

Pole sana mkuu, kwani hizo tattoo huwa hazifutikagi?
Zimechorwa kwenye Yas mixx by Yes unazifutaje na huku kwenye kipapayunga pia kuna mchoro sasa unafutaje hapo unataka ararue sehemu za siri? Maana ili kufuta tattoo isiyofutika kwa wino inabidi apigwe pasi patokee jeraha ndio tattoo inaenda ndani juu linabakia kovu
 
WTF
 
Naomba kujua hizo tattoo umeandika maneno gani

Usikute umeandika,

JUMA WEWE MTAMUU au
ASANTE JOSE au
IBRA UNANIMALIZA

Hata mimi siwezi... niskudanganye
 
Eeh jamaa akapiga mambo na ulivyo na big nyash ni kukatia nyuma tu km farasi huyu anaimba tu yes yes yes kwenye yas
 
Eeh jamaa akapiga mambo na ulivyo na big nyash ni kukatia nyuma tu km farasi huyu anaimba tu yes yes yes kwenye yas
 
umempa tiGo?
 
Rudi kwa mchora matatoo wako bibie.. Hayo matatoo yana maana kubwa sana spiritually ndio maana utahangaika sana. Now unavuna ulichopanda.
 
Kazi ndogo hiyo.. Chukua frying pan iweke jikoni mpaka iwe nyekundu kwa moto.. Kisha bandika kwenye matako yako moja moja.. Uguza vidonda vikipona Ganda la juu ya ngozi litatoka na hakutakuwa na kovu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…