Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku?

Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku?

Caludji

Senior Member
Joined
Jan 2, 2022
Posts
131
Reaction score
164
Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku?

Michango yenu nitaishukuru sana tu.
 
Kama upo mwanza chukuwa hiyo pesa nenda mlango mmoja chagua buti zako nzuri za 6000 8000 10000 zama mto kenge osha vizuri

Kisha anika tembeza auwezi kukosa wateja
Shukran kwa Ushauri ila nipo Dar es Salaam.
 
Kama upo Mwanza chukua hiyo pesa nenda mlango mmoja chagua buti zako nzuri za 6000 8000 10000 zama mto kenge osha vizuri

Kisha anika tembeza auwezi kukosa wateja
Mkuu, ukiwa maeneo ya Mkuyuni sokoni to Nyegezi kona, nsaidie kuwasabahi watoto wazuri wa hiyo zone! Ujumbe: One day ntarejea nyumbani kuzichakata mbususu zao [emoji39]
 
Asante kwa Maelezo yako ya Kejeli na Dharau.
Hayo maelezo siyo ya kejeli wala dharau.
Ukichukua odds zako mbili ukatia hiyo hela, unapata laki tatu mapema kabisa.
Tena ni baada tu ya dakika 90, sasa wewe kama unaona kakudharau shauri yako.
 
Hakuna faida ya harakaharaka kihivyo wewe..pambana
Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku?

Michango yenu nitaishukuru sana tu.
 
Faida ya hraka haraka like serious? Kama wew so mvumlivu usije ukathubutu biashara maana bila shaka unataka faida kubwa kwa mda mchache! wake up janja mambo so simple ivyo kama kwenye movie mtaani kuna uhalisia wa maisha
 
Mkuu fikiri upya Tena juu ya hiyo dhana ya faida ya haraka,, kinacho tukwamisha vijana wengi ni kutaka faida ya haraka mwisho wa siku tunajikuta tunapoteza na kuanza upya.
Ushauri wangu tafuta wazo lolote la biashara hata ufugaji watafute wajuzi na wazoefu na hicho kitu then Anza taratibu, trust me faida itakuja yenyew tu.
Lakini kwa mtaji huo nakushauri Anza ufugaji ndege (kuku, Bata n.k) shirikisha watu wenye uzoefu wa kufuga hao ndege, nadhan hiyo ndio njia rahisi japo changamoto hazikwepeki na ndio mafanikio yenyew.
Hata hao unaowaona wanapata faida ya haraka haraka walianzia mbali Sana na wamepitia hangamoto ambazo wengi tunazikwepa, faida ni matokeo ya michakato ya mtu binafsi, uki focus kwenye faida Sana bila kuangalia what it take kupata hiyo faida lazima upotee, ndio maana unakuta mtu anafanikiwa na kupata faida kubwa katika biashara ambayo mtu mwengine imemfilisi.
Katika yote mtangulize Mungu utafaikiwa
 
Kama upo Mwanza chukua hiyo pesa nenda mlango mmoja chagua buti zako nzuri za 6000 8000 10000 zama mto kenge osha vizuri

Kisha anika tembeza auwezi kukosa wateja
Hii ni idea!
 
Faida ya hraka haraka like serious? Kama wew so mvumlivu usije ukathubutu biashara maana bila shaka unataka faida kubwa kwa mda mchache! wake up janja mambo so simple ivyo kama kwenye movie mtaani kuna uhalisia wa maisha
Umesema vizuri saana mkuu
 
Back
Top Bottom