Kuli Msomi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 266
- 625
Hio bila kindege Aviator ni ngumu kutoboaWakuu habari zenu ni matumain yangu mko salama salmini
Sasa wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo nashida ya pesa kama 3million na natakiwa kuipata ndani ya kipindi cha siku 15 ila nikijiangalia mfukoni ninamiliki Tsh 150,000/= tu je kuna namna naweza kufanya ili niifikie iyo pesaa
My location : Dar es salaam
Kama unaweza ingia katika uchuuzo wa dhahabu,kwa 5m utapata gram 56 kwa 90k@ gram.Nina 5m nifanye nini ndani ya mwezi nipate 6m?
kabisakua makini
Aaah kaka ungeongeza walau laki mbili tungejua tunaizalishaje,ila moja unusu uongo.Wakuu habari zenu ni matumain yangu mko salama salmini
Sasa wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo nashida ya pesa kama 3million na natakiwa kuipata ndani ya kipindi cha siku 15 ila nikijiangalia mfukoni ninamiliki Tsh 150,000/= tu je kuna namna naweza kufanya ili niifikie iyo pesaa
My location : Dar es salaam
Upate 1m jumla iwe 6m au upate 6m jumla iwe 11m?Nina 5m nifanye nini ndani ya mwezi nipate 6m?
Uza bangiWakuu habari zenu ni matumain yangu mko salama salmini