Nina Tsh 150,000 tu, nifanye nini ndani ya siku kumi na tano nipate Tsh 3,000,000?

Nina Tsh 150,000 tu, nifanye nini ndani ya siku kumi na tano nipate Tsh 3,000,000?

Kama unaweza ingia katika uchuuzo wa dhahabu,kwa 5m utapata gram 56 kwa 90k@ gram.
Ukienda sokoni gram moja ni 147k inamaana kwa gram 56 utatengeneza 8.08 milions ukitoa mtaji faida itakua 3.2 milions.
Kila wiki fanya safari moja migodini inamaana kwa mwezi utakua umetengeneza faida ya milion 7-8.5 ukitoa na gharama za usafiri na kodi.
Hapo 5milions itakua iko nje kama mtaji na utakua umetengeneza 7-8 millions kwa mwezi.
Kama utaweza uchuuzi wa madini ya dhahabu.

Hii ni idea nzuri kwa wenye pesa ila hii biashara mtaani tunatishwa vifo uwa nje nje
 
Labda uibandike picha ya Mwamposa.Kuna shuhuda huko watu wanabandika picha kwenye luku ,mitungi ya gesi ngoma haziishi.
 
Aaah kaka ungeongeza walau laki mbili tungejua tunaizalishaje,ila moja unusu uongo.
Walau ingelikua tatu unusu ingelikua na uwezekano.

Tatu na nusu tunawezaje mkuu nipm
 
Wakuu habari zenu ni matumain yangu mko salama salmini

Sasa wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo nashida ya pesa kama 3million na natakiwa kuipata ndani ya kipindi cha siku 15 ila nikijiangalia mfukoni ninamiliki Tsh 150,000/= tu je kuna namna naweza kufanya ili niifikie iyo pesaa

My location : Dar es salaam
Umekula ada eeh
 
Mtaji wa 150,000 uzalishe faida ya 3m... Hapo faida ni 2000% ya mtaji. Tusikupe moyo mkuu, kupata faida ya asilimia afu mbili ngumu ndani ya nusu mwezi
Faida ni 1,900%. Asilimia 2,000 ni pato lake jipya la 3M likianiwahi (with respect to) kianzio cha 150,000.

(3M - 150,000) ÷ 150,000% = 1,900%

^If you want something you've never had, you must be willing to do something you've never done.^ Thomas Jefferson.
 
Back
Top Bottom