Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
3M haiwezi kuwa mpya yote kwa vile ni wazi kwamba 150,000 ni sehemu ya matumizi iliyozalisha hilo pato kuu.Matumizi ya kiswahili tu, "Nina Tsh 150,000/= tu nifanye nini ndani ya siku kumi na tano nipate Tsh 3,000,000/="
Nipate mtu anaweza kutafsri 3,000,000 ni pesa mpya ambayo alikuwa hana hata mia yake huku position ya 150k ikibaki ilivyokuwa
Malengo yake ni kuifikia 3M kutoka 150k, ambapo ndiyo ukomo.
Je kuna namna naweza kufanya ili niifikie iyo pesa