Nina Tsh 150,000 tu, nifanye nini ndani ya siku kumi na tano nipate Tsh 3,000,000?

Nina Tsh 150,000 tu, nifanye nini ndani ya siku kumi na tano nipate Tsh 3,000,000?

Huyo digala anayekimbizana na faida ya 2k kwa gram sio digala ni ushubadwa.
Angalau ungenambia faida ya 25k ni afadhali.
Maana kama Matombo ile njia panda ya Mvuha nao wanachimba ya mtoni ambayo ni safi sio kama ya mwamba,gram 1 wanakupiga laki kamili mpaka laki na kumi.
Nenda ukauze,na ukitaka faida kauze soko la kimataifa la madini sio ofisi za tume ya madini.
Kama mimi nilikua nina connection ya sehemu kama sita kote nikisubiri mzigo utakapotoka naenda MERERA,MANGAYE,MATOMBO,MASHEWA(HAYA NI MACHIMBO YASIYO RASMI),HANDENI,MKATA,MBEZI,DUMILA MVUMI,MIKESE(MACHIMBO YASIYO RASMI).

Cha mwisho cha kukwambia,YALE NI MADINI ILE BIASHARA
we ni tapeli, kenge mkubwa ww? kwanza hapaitwi merera ni melela, na sio mangaye ni mangae, soko la kimataifa ndo upeleke gram 56 kwa week? mkuu we ni tapeli kiazi, ndo maana unakimbia, umeama kwenye 57k mapka 25k faida/g?
 
Wakuu habari zenu ni matumain yangu mko salama salmini

Sasa wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo nashida ya pesa kama 3million na natakiwa kuipata ndani ya kipindi cha siku 15 ila nikijiangalia mfukoni ninamiliki Tsh 150,000/= tu je kuna namna naweza kufanya ili niifikie iyo pesaa

My location : Dar es salaam
Zidisha mara 20 tu mkuu, inapatikana
 
we ni tapeli, kenge mkubwa ww? kwanza hapaitwi merera ni melela, na sio mangaye ni mangae, soko la kimataifa ndo upeleke gram 56 kwa week? mkuu we ni tapeli kiazi, ndo maana unakimbia, umeama kwenye 57k mapka 25k faida/g?
We ni kichaa kweli😂😂😂😂😂.
Umeanza KUREKEBISHA UANDISHI kwa kukosa hoja!?
Mangaye au Mangae,Merera au Melela ina utofauti gani!??
Hizo ni kauli tu namna ya kutamka.
Wengine Dumila wanakwambia Dumira.
Nimekutolea mifano ya dhahabu tofauti na nimekanusha WEWE MUONGO HUWEZI UKASEMA ETI GRAM MOJA IKUPATIE FAIDA YA 2K.
NDIO MAANA NIKAKUTOLEA MFANO WA FAIDA YA CHINI KABISA KUWA NI 25K.
Hiyo 25k ni faida ya chini kabisa.

All at all sikutaka hela ya mtu na sikumwambia mtu afanye biashara na mimi.
Watu wametaka maelezo nimewapa wakitaka wayafanyie kazi wasipotaka wasiyafanyie kazi is upto them.
UNANIITA TAPELI KUNA MTU NILIMWAMBIA ANIPE PESA!??

Kuniita kwako tapeli hakuniumizi nimekusamehe kwa kukosa kwako exposure.
 
we ni tapeli, kenge mkubwa ww? kwanza hapaitwi merera ni melela, na sio mangaye ni mangae, soko la kimataifa ndo upeleke gram 56 kwa week? mkuu we ni tapeli kiazi, ndo maana unakimbia, umeama kwenye 57k mapka 25k faida/g?
Pia haujui kipi unataka maana hata unachoelezwa na unachojibu huelewi.
 
Nishakujibu nimekutajia mpaka machimbo.
Embu nikupe simple maths.
Dhahabu za Matombo zinakua safi sana kwasababu nyingi za mtoni nunua gram moja kwa elfu tisini,tena kwasababu kule machimbo yao sio rasmi kuna muda gram moja wanakuuza mpaka elfu themanini.
Dhahabu ikienda pigwa moto ni nadra sana kupoteza zaidi ya 9% LABDA UWE UMEUZIWA NDAZA.
Na kwa serikali dhahabu yenye purity kuanzia 89% wanakulipa hela ya sokoni ambayo 135-137k.
Sidhani kama I owe you any explanation after this.
kwa hyo wanakupa 137k bila kuangalia purity? mkuu unambwelambwela sana, huna uliposhika, mara 147k mara 137k, tushike lipi? we ni tapel kiazi.
 
Back
Top Bottom