Nina Tsh 150,000 tu, nifanye nini ndani ya siku kumi na tano nipate Tsh 3,000,000?

Nina Tsh 150,000 tu, nifanye nini ndani ya siku kumi na tano nipate Tsh 3,000,000?

Wakuu habari zenu ni matumain yangu mko salama salmini

Sasa wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo nashida ya pesa kama 3million na natakiwa kuipata ndani ya kipindi cha siku 15 ila nikijiangalia mfukoni ninamiliki Tsh 150,000/= tu je kuna namna naweza kufanya ili niifikie iyo pesaa

My location : Dar es salaam
Hata ukiuza Cocaine kwa mtaji huo huwezi kupata 3M.
 
Nilionaga status ya Maxence Melo anasema Figo unauza kwa 80M unatafuta mkeka wa odd 10 unaweka 70M Unapiga 700M. Baada ya hapo unapata 700M unatoa 80M unanua Figo nyingine na chenchi inabaki mbona life simple tu? [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Usiogope kijana

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
You need SMART goal settings, yaani Bora wa 5m anataka apate 1m ili awe na 6m kuliko mwenye 150,000 anataka apate 3m ndani ya siku 15 napenda kufundisha elimu ya ujasiriamali ila humu niwajuwaji sana

Ujamuelewa vizuri mkuu
 
Nenda kkoo kanunue zile chupi ( G string) na zile chupi za kamba kamba mfano Bikini etc..

Tumia kama 50k

Hiyo then uwe unavaa hizo Usiku hasa maeneo ya kitambaa cheupe ya Sinza au Tabata huko..

Pia hiyo 100k inayobak itumie kama mtaji wa kununua bia za kuzugia zugia ukiwa bar/night club..


Hakika utaipata hiyo 3m chap.

Wewe kuna shida kidogo kwenye uti wa mgongo wako kwa chini sio bure
 
Tafuta odd 3 kila siku weka hela yote, mpaka hiyo siku ya 15 utakuwa na zaidi ya kusudio lako.
 
Kama unaweza ingia katika uchuuzo wa dhahabu,kwa 5m utapata gram 56 kwa 90k@ gram.

Ukienda sokoni gram moja ni 147k inamaana kwa gram 56 utatengeneza 8.08 milions ukitoa mtaji faida itakua 3.2 milions.

Kila wiki fanya safari moja migodini inamaana kwa mwezi utakua umetengeneza faida ya milion 7-8.5 ukitoa na gharama za usafiri na kodi.

Hapo 5milions itakua iko nje kama mtaji na utakua umetengeneza 7-8 millions kwa mwezi.

Kama utaweza uchuuzi wa madini ya dhahabu.
Mkuu we muongo sana, kwanza ni wapi ambapo utapata gram 56 kwa wiki, pili bei ya elfu 90 bado ipo mgodi upo huo??? sasahivi gram Moja inalaki 2 we unamdanganya mwenzako et 90k😂😂😂😂😂
 
chimbo gani hilo ambalo mgen from no where anaweza kuingia na kuwa na uhakika wa 56gm kila week?, chimbo gani hlo ambalo dhahabu atapata kwa 90k/gm, hyo dhababu purity yake ngapi? akienda sokoni hawaconsidi purity wanamchotea tu 147k/gm? yaani kwenye gram moja upate faida ya 57k? unaumwa wewe si bure.,.madigala wazoefu wanakimbizina na faida ya 2k/gm we unakuja na hesabu zako za biashara ya ngedere hapa.

acha kudanganya watu mkuu.
Wadau tupo wengi ila yeye hajui
 
Back
Top Bottom