Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
You need SMART goal settings, yaani Bora wa 5m anataka apate 1m ili awe na 6m kuliko mwenye 150,000 anataka apate 3m ndani ya siku 15 napenda kufundisha elimu ya ujasiriamali ila humu niwajuwaji sanaNina 5m nifanye nini ndani ya mwezi nipate 6m?