Nina Tsh 150,000 tu, nifanye nini ndani ya siku kumi na tano nipate Tsh 3,000,000?

Nina Tsh 150,000 tu, nifanye nini ndani ya siku kumi na tano nipate Tsh 3,000,000?

Nishakujibu nimekutajia mpaka machimbo.
Embu nikupe simple maths.
Dhahabu za Matombo zinakua safi sana kwasababu nyingi za mtoni nunua gram moja kwa elfu tisini,tena kwasababu kule machimbo yao sio rasmi kuna muda gram moja wanakuuza mpaka elfu themanini.
Dhahabu ikienda pigwa moto ni nadra sana kupoteza zaidi ya 9% LABDA UWE UMEUZIWA NDAZA.
Na kwa serikali dhahabu yenye purity kuanzia 89% wanakulipa hela ya sokoni ambayo 135-137k.
Sidhani kama I owe you any explanation after this.
Dhahabu sasahivi ipo kwenye 200k hiyo 90k unanunua mbuzi au
 
Pambana sana inawezekana
Screenshot_20240619-224802.jpg
IMG_20240615_110301_010.jpg
 
Wakuu habari zenu ni matumain yangu mko salama salmini

Sasa wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo nashida ya pesa kama 3million na natakiwa kuipata ndani ya kipindi cha siku 15 ila nikijiangalia mfukoni ninamiliki Tsh 150,000/= tu je kuna namna naweza kufanya ili niifikie iyo pesaa

My location : Dar es salaam
kuna app inaitwa GRINDR na TINDER huko vijana wanauza bidhaa za asili. Na wanunuzi wapo. Kila la kheri
 
Eti ananunua gram kwa 90k anauza kwa 147kπŸ˜ƒ, Kila mtu angekua kota, kota Kila gram akila sana anakula buku 6-8 hapo ajiandae na kuwakopa wenye makarasha la sivyo atakaa porini na hela zake na hatalamba mzigo wowote
Hiyo bei ilikua ya 2019 aisee
 
Wakuu habari zenu ni matumain yangu mko salama salmini

Sasa wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo nashida ya pesa kama 3million na natakiwa kuipata ndani ya kipindi cha siku 15 ila nikijiangalia mfukoni ninamiliki Tsh 150,000/= tu je kuna namna naweza kufanya ili niifikie iyo pesaa

My location : Dar es salaam
Beti, tafuta team 10 odds 30 tupia laki unapata milioni 3
 
Mkuu we muongo sana, kwanza ni wapi ambapo utapata gram 56 kwa wiki, pili bei ya elfu 90 bado ipo mgodi upo huo??? sasahivi gram Moja inalaki 2 we unamdanganya mwenzako et 90kπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umerudi kwa ID nyingine!?
Pole sana kijana,sokoni kuanzia soko la serikali katika ofisi zao za tume ya madini mpaka ofisi za soko la kimataifa la madini dhahabu gram moja ni 135k-147k.
Sasa wewe na uongo wako machimboni ununue laki mbili halafu sokoni uje uuze laki moja naa!!??

Huyo jamaa kauliza kwa milion 5 anapataje milion 6!?
Mie nikapigia hesabu za mtaji wa milioni 5 atafanyaje biashara ya dhahabu.Ndio yakaja mahesabu hayo.
Pia UACHE UONGO machimboni point moja ni 900-100.Ina maana point kumi ni elfu 90 mpaka laki moja.
TEMBEA MACHIMBO YOOTEE UNAOYAJUA DHAHABU INAUZWA HIVYO.
Na tena sasa hivi wanakupigia moto pale pale na kukutolea takataka au wanaichemsha katika mercury halafu wanakupa ikiwa takataka zimepungua sokoni ni laki na 35 mpaka laki na 47.
WE MGODI UPI WANAKUUZIA DHAHABU LAKI MBILI!??
Yani mgodini wakuuzie dhahabu laki 2 halafu sokoni iuzwe laki naa!?
Fala kweli wewe.
 
Dhahabu sasahivi ipo kwenye 200k hiyo 90k unanunua mbuzi au
ACHA UONGO WEWE DHAHABU YA 200K IMETOKA WAPI!!??
BEI ELEKEZI YA DHAHABU SOKONI SHINGAPI!?
MIMI NIPO BUMBULI SASA HIVI TANGA WATU WANACHIMBA KATIKA MASHAMBA YA WATU ILLEGALLY NA WANAENDA KUUZA 85K-90K.
WEWE HIYO YA 200K NI MACHIMBO GANI!?
 
Ni
Umerudi kwa ID nyingine!?
Pole sana kijana,sokoni kuanzia soko la serikali katika ofisi zao za tume ya madini mpaka ofisi za soko la kimataifa la madini dhahabu gram moja ni 135k-147k.
Sasa wewe na uongo wako machimboni ununue laki mbili halafu sokoni uje uuze laki moja naa!!??

Huyo jamaa kauliza kwa milion 5 anapataje milion 6!?
Mie nikapigia hesabu za mtaji wa milioni 5 atafanyaje biashara ya dhahabu.Ndio yakaja mahesabu hayo.
Pia UACHE UONGO machimboni point moja ni 900-100.Ina maana point kumi ni elfu 90 mpaka laki moja.
TEMBEA MACHIMBO YOOTEE UNAOYAJUA DHAHABU INAUZWA HIVYO.
Na tena sasa hivi wanakupigia moto pale pale na kukutolea takataka au wanaichemsha katika mercury halafu wanakupa ikiwa takataka zimepungua sokoni ni laki na 35 mpaka laki na 47.
WE MGODI UPI WANAKUUZIA DHAHABU LAKI MBILI!??
Yani mgodini wakuuzie dhahabu laki 2 halafu sokoni iuzwe laki naa!?
Fala kweli wewe.
Nikiwa na mtaji wa m 15 naweza kujichanhanya kwenye biahsta ya madini je niende mgodi upi
 
Dhahabu sasahivi ipo kwenye 200k hiyo 90k unanunua mbuzi au
Unapokuja kuongea ongea ukiwa na uhakika na unachoongea.
Tanzania dhahabu zetu nyingi ni karat 18 ambazo ndio zinauzwa 1gram kwa 135k-147k.
Na hii ni bei ya sokoni,sasa nataka wewe uniambie bei ya MACHIMBONI YA 1G KUWA 200K UMEITOA WAPII!?
HILO HAPO CHINI JEDUARI LA WIZARA YA NISHATI NA MADINI NI BEI ELEKEZI YA DHAHABU ILE ILIYOKWISHASAFISHWA KUANZIA KARAT 15 MPK KARAT 22 AMBAYO NDIO BEI INAUZWA 190K.
AYA SASA WEWE HIYO YA BEI YA MACHIMBONI KUWA 200K UMEIPATA WAPI!??
Ununue shimoni 200k sokoni unakuja kuuza shingapi!!???
NASUBIRI JIBU HAPAAAAA.
Sasa hivi nitaanza kuongea kwa evidence ili tusichoshane akili.
Screenshot_2024-06-20-08-33-35-93_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Back
Top Bottom