Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Ipo 4 hapa, haya lete maneno sasa ! 😂Aaah kaka ungeongeza walau laki mbili tungejua tunaizalishaje,ila moja unusu uongo.
Walau ingelikua tatu unusu ingelikua na uwezekano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo 4 hapa, haya lete maneno sasa ! 😂Aaah kaka ungeongeza walau laki mbili tungejua tunaizalishaje,ila moja unusu uongo.
Walau ingelikua tatu unusu ingelikua na uwezekano.
Porojo ipi!?Basi wewe unaongea porojo
Basi kaka hujanielewa nini nimekusudia.Sembe itakua unaisikia tu mkuu nenda Arusha uone walioanza na maduka ya Sembe na sasa hivi wanapeleka mzigo Nairobi kitu chochote ukikifanya kwa umakini utafanikiwa unaponda biashara nzuri na makini kwa biashara ya ujanja ujanja dakika mbili unatapeliwa..
Ila mbona jamaa katoa maelezo clear tu man, kila ulichouliza kajibu furesh kabisa ni wewe tu kuthibitisha kwa kuingia field nafikiri.maelezo yako ni ya kitapei, kutamanisha watu ili uwapige
Hio bila kindege Aviator ni ngumu kutoboa
Ngwande ndio kitu gani chief!?Ngwande Ya mkaa ataiweza???
😅😅Aviator
Nenda kwa Bashe ukaombe kibali cha kuagiza sukari. Kuna meana hapa kitaa huwa anafanya deal za kuhamishia watu miziki na movies kutoka kweny computer yake na kuwawelea kwenye simu na flash yeye pia kimzahamzaha amepewa kibali cha kuagiza sukari.Wakuu habari zenu ni matumain yangu mko salama salmini
Sasa wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo nashida ya pesa kama 3million na natakiwa kuipata ndani ya kipindi cha siku 15 ila nikijiangalia mfukoni ninamiliki Tsh 150,000/= tu je kuna namna naweza kufanya ili niifikie iyo pesaa
My location : Dar es salaam
Ngwande ni kazi ngumu mkuu @IvanstepanovNgwande ndio kitu gani chief!?
mkuu huyo jamaa ni tapeli, ni anacheza na maneno tu uhalisia haupo, hv mkuu ununue kilo moja ya dhahabu kwa 90m uende sokoni upate faida ya 57m hv kwa akili yako inaingia akilin hata kama hujui kuhusu hyo biashara. nakuapia mkuu hakuna digala anapata faida ya zaid ya 10k/g kwenye dhahabu, tena hapo kacheza michezo michafu kama kutemper na scale etc. dhahabu ingekuwa na faida kubwa kama jamaa anavodai tusingekuwa kunapishana na madigala kwa mama lishe kufuata ugali dagaa mkuu. 57k/g faida? over my dead body, tena unafanya uchuuzi sio hata kuwa umedhamini duara? which is too risky, kupoteza hela ni kugusa tu.Ila mbona jamaa katoa maelezo clear tu man, kila ulichouliza kajibu furesh kabisa ni wewe tu kuthibitisha kwa kuingia field nafikiri.
Hayo mambo ya anaendesha gari gani ili uamini naona kama una sound personal kidogo.
Hizo si odd 20 tu!! Mpe mtaalamuHakuna
Sidhani hata siku moja itafikisha hiyo 150KHio bila kindege Aviator ni ngumu kutoboa
hahaha daaah noma kweli daaahHio bila kindege Aviator ni ngumu kutoboa
anadhani wote ni wagen wa hzo mambo, achana naye huyo atakuchosha bure.Umejificha kwenye kivuli Cha 'machimbo yasio rasmi'... Ila kwenye migodi yote tunayoijua hicho ulichoandika hakina uhalisia kabisa
Mi nimefanya sana biashara ya machimboni ndo maana jamaa hata nimeamua kumpotezea tu, unachosema ndo uhalisia, faida per gram ni elfu 6 mpaka 8, that's it, ila faida ya elf 57 sasa Kila mtu si angeenda tu kuuzia sokoni....mkuu huyo jamaa ni tapeli, ni anacheza na maneno tu uhalisia haupo, hv mkuu ununue kilo moja ya dhahabu kwa 90m uende sokoni upate faida ya 57m hv kwa akili yako inaingia akilin hata kama hujui kuhusu hyo biashara. nakuapia mkuu hakuna digala anapata faida ya zaid ya 10k/g kwenye dhahabu, tena hapo kacheza michezo michafu kama kutemper na scale etc. dhahabu ingekuwa na faida kubwa kama jamaa anavodai tusingekuwa kunapishana na madigala kwa mama lishe kufuata ugali dagaa mkuu. 57k/g faida? over my dead body, tena unafanya uchuuzi sio hata kuwa umedhamini duara? which is too risky, kupoteza hela ni kugusa tu.
nenda katoe sadaka kwa Mungu.Wakuu habari zenu ni matumain yangu mko salama salmini
Sasa wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo nashida ya pesa kama 3million na natakiwa kuipata ndani ya kipindi cha siku 15 ila nikijiangalia mfukoni ninamiliki Tsh 150,000/= tu je kuna namna naweza kufanya ili niifikie iyo pesaa
My location : Dar es salaam
mkuu hata dakika 10 haifiki, jamaa mmoja magomeni saa 8 usiku alikuwa na m7 asubuhi ana zero balance. NAWAHESHIMU SANA MAPILOT WA AVIATORSidhani hata siku moja itafikisha hiyo 150K
Gram 56 per week siyo kitoto mkuu kwa mfumo huo?......Afu hiyo bei ya mwaka gani au Mgodi gani 90k@1gramKama unaweza ingia katika uchuuzo wa dhahabu,kwa 5m utapata gram 56 kwa 90k@ gram.
Ukienda sokoni gram moja ni 147k inamaana kwa gram 56 utatengeneza 8.08 milions ukitoa mtaji faida itakua 3.2 milions.
Kila wiki fanya safari moja migodini inamaana kwa mwezi utakua umetengeneza faida ya milion 7-8.5 ukitoa na gharama za usafiri na kodi.
Hapo 5milions itakua iko nje kama mtaji na utakua umetengeneza 7-8 millions kwa mwezi.
Kama utaweza uchuuzi wa madini ya dhahabu.