Nina Tsh 150,000 tu, nifanye nini ndani ya siku kumi na tano nipate Tsh 3,000,000?

Nina Tsh 150,000 tu, nifanye nini ndani ya siku kumi na tano nipate Tsh 3,000,000?

Mimi ningekua wewe hiyo 150K ningedeposit kwa broker nitrade forex leo kuna news kubwa sana ya GBP Interest Rate Decision hiyo 3M unayotafuta naipata leo saa 8.
Usipitwe na hii chance coz am gonna kill the broker ila usichukulie kirahisi tu kama kunywa maji unatakiwa uwe mastermind kwelikweli kama una roho na akili ndogo kaa mbali unaweza ukalia bila kupenda
Kwanini huna hiyo 150k?
 
Grm ya dhahabu ni 170,000/= wewe wasema 90,000/= wapi huko .... asilimia ngapi ..... na klem ni yako?

Mkuu kama unataka uelekezwe sema mimi nimefanya hiyo biashara na leseni ninayo,unachobisha wewe nini!?
Unataka kuelekezwa!?
Sema tukuelekeze.
 
Basi kaka hujanielewa nini nimekusudia.
Biashara ya nafaka haina mlolongo mkubwa sana na haina changamoto nyingi kama ya madini.
Nilichomaanisha biashara ya madini ina milolongo mingi na ina changamoto kubwa kuliko ya nafaka.
OK sawa inawezekana sikukuelewa mkuu ila kwa mpunga Nafaka ina pesa kweli na inaonekana iwe kwa mdogo au mfanyabiashara Mkubwa..
 
achana na huyo kenge mkuu, nina bro wangu alianza biashara ya duka la jumla kwa 10m kwa sasa kwa sasa turn over yake kwa mwaka ni over 300m, hyo biashara ya dhahabu naijua ndani nje akawadanganye kenge wenzake
Pana jamaa angu ana Truck zaidi ya 20 kwa ajili ya kubebea Nafaka tu na majengo marefu mjini kati hao Wasomali wa Sumbawanga si nafaka ndio inawafanya wawe sawa kwa kukamata soko la DRC kwenye madini ni ujanja ujanja sana na utapeli nje nje...
 
Mkuu mifano yako mingi huwa naona una wadau wengi sana walio kwenye system ya madili makubwa kubwa. Hongera sana una back up kubwa sana nyuma yako, mpaka kuwapata hao ina maana na wewe uko njema.

Back
Top Bottom