MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kwanini huna hiyo 150k?Mimi ningekua wewe hiyo 150K ningedeposit kwa broker nitrade forex leo kuna news kubwa sana ya GBP Interest Rate Decision hiyo 3M unayotafuta naipata leo saa 8.
Usipitwe na hii chance coz am gonna kill the broker ila usichukulie kirahisi tu kama kunywa maji unatakiwa uwe mastermind kwelikweli kama una roho na akili ndogo kaa mbali unaweza ukalia bila kupenda
πHio bila kindege Aviator ni ngumu kutoboa
Mkuu kama unataka uelekezwe sema mimi nimefanya hiyo biashara na leseni ninayo,unachobisha wewe nini!?
Unataka kuelekezwa!?
Sema tukuelekeze.
ππππππ alikuwa haoni kama anachoma?mkuu hata dakika 10 haifiki, jamaa mmoja magomeni saa 8 usiku alikuwa na m7 asubuhi ana zero balance. NAWAHESHIMU SANA MAPILOT WA AVIATOR
Pole sana mpare wa UgwenoDah nimelia sana π
OK sawa inawezekana sikukuelewa mkuu ila kwa mpunga Nafaka ina pesa kweli na inaonekana iwe kwa mdogo au mfanyabiashara Mkubwa..Basi kaka hujanielewa nini nimekusudia.
Biashara ya nafaka haina mlolongo mkubwa sana na haina changamoto nyingi kama ya madini.
Nilichomaanisha biashara ya madini ina milolongo mingi na ina changamoto kubwa kuliko ya nafaka.
Pana jamaa angu ana Truck zaidi ya 20 kwa ajili ya kubebea Nafaka tu na majengo marefu mjini kati hao Wasomali wa Sumbawanga si nafaka ndio inawafanya wawe sawa kwa kukamata soko la DRC kwenye madini ni ujanja ujanja sana na utapeli nje nje...achana na huyo kenge mkuu, nina bro wangu alianza biashara ya duka la jumla kwa 10m kwa sasa kwa sasa turn over yake kwa mwaka ni over 300m, hyo biashara ya dhahabu naijua ndani nje akawadanganye kenge wenzake
Mm mpare wa Gonja πPole sana mpare wa Ugweno
Wote si wapare lakini?? Nyie wachawi sana nawaogopa πππMm mpare wa Gonja π
Walikufanyaje hao wahuni?Wote si wapare lakini?? Nyie wachawi sana nawaogopa πππ
Pana jamaa angu ana Truck zaidi ya 20 kwa ajili ya kubebea Nafaka tu na majengo marefu mjini kati hao Wasomali wa Sumbawanga si nafaka ndio inawafanya wawe sawa kwa kukamata soko la DRC kwenye madini ni ujanja ujanja sana na utapeli nje nje...
Waliniroga πΉπΉπΉWalikufanyaje hao wahuni?
Ikawaje mahi lavuWaliniroga πΉπΉπΉ
Mahi lavu kwanza nilie ππππIkawaje mahi lavu
Nishatoa ufafanuzi post za nyuma mkuu na tushaeleweshana na wadau.Grm ya dhahabu ni 170,000/= wewe wasema 90,000/= wapi huko .... asilimia ngapi ..... na klem ni yako?