Nina Tsh 150,000 tu, nifanye nini ndani ya siku kumi na tano nipate Tsh 3,000,000?

Changamoto ni kuwapata hao watu
Wapemba kariakoo huwa wanawapataje??? Kuna siku nilipita chocho moja nikakuta jamaa mpemba anawagawia tu vijana matrei ya maji na soda wanaenda kutembeza wanaleta hela..

Hivi hawaibi? Umpe mzigo asepe.
 
Vijana wengi unaowaona wakitembeza bidhaa mbali mbali maeneo ya vituo vya mabasi n.k wanakuwa wanafanya biashara kwa mfumo huo, wanapewa mzigo wanalipwa kwa kamisheni, changamoto ni namna ya kuwapata.​
 
Bonge la swali....
 
Hivi kumbe haya mambo huwa ni mepesi kiasi hiki.?
 
Kuwa rubani tu, endesha AVIATOR ikifika 20 tu toa milioni 3 yako chapu. Hakikisha unaacha hata elfu kumi hivi, ikitokea AVIATOR akaishia 1.00 nunua kamba au K Vant mkuu

-smooth criminal-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…