Nina udomo zege pro max, nahitaji ushauri

Kuna siku moja tumeyajenga na demu fresh tu,namsubir mbwa yule mpaka mida ya saa sita na nusu halafu namsikia anaingia chumba cha jirani,dah alinikata stimu hatar
 
Huyu hata huyo mwanamke akifika atakuja kuomba ushauri afanye nini ili binti achojoe nguo 😹😹
Sijui anazubaa nini,huyu tumpelekee dada kibomba ndio atajua hajui,kabla hajafunga mlango vizuri kibomba yupo kama alivyozaliwa🀣
 
Kuna siku moja tumeyajenga na demu fresh tu,namsubir mbwa yule mpaka mida ya saa sita na nusu halafu namsikia anaingia chumba cha jirani,dah alinikata stimu hatar
πŸ˜…πŸ˜… Hizo ndio changamoto za barmaid.. kipindi na hela za kuchezea.. nilikuwa mapemaa namuuliza mshara wako na posho kwa mwezi mzima ukijumlisha inakuwa shilingi ngapi.. akitaja tu amaisha ,🀣🀣🀣 nakuambia twende tulale nakupata hiyo hela yote Leo.. kwa usiku mmoja.. namuonesha kabisa na mzigo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Sema Sasa hivi soko limebadirika manzi Hadi wa elfu 10 watamu
 
Ila wewe mtaalamu expert wangu,yan sasa hivi nimeingia ujinga wa kutoweza kulala peke yangu nikienda kulala gesti, kuna gesti moja nilikipata kibint cha 2000 dah nimetokea kukielewa sana,huwa sometime naenda gest yao kwa ajili yake,nacho kimenielewa,yan mm na mabint wa 2000 sijui niaje,navipenda navyo vinanipenda piaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜…πŸ˜… Hakuna sehemu ngumu kulala peke yako kama guest mkuu wangu.. ukijitahidi sana siku moja.. ya pili utatupia kamba wavuni .. ndio maana sie wasafiri hakuna sehemu kwenye hii nchi hatujawai kupiga mzigo.. popote unapolala Cha kwanza huwa tunaulizia wapi kuna makunyazi.. au kabla sijafika naanza kuulizia.. makunyazi ndio uhai wetu wengi 🀣🀣
 
SEMA lamomy nakutegemea ujue kesho ndo nimeamua liwalo na liwe na feedback nitaileta hapa hapa
 

Ni uraibu mbaya sana aisee,nakumbuka siku moja nilienda gesti moja nikalipa na kuandikisha jina kabisa,naulizia mchuchu hakuna,huwezi amini nikakiacha chumba nikaenda sehemu nyingine,haya mambo bwana ni ya ajabu sana
 
Ni uraibu mbaya sana aisee,nakumbuka siku moja nilienda gesti moja nikalipa na kuandikisha jina kabisa,naulizia mchuchu hakuna,huwezi amini nikakiacha chumba nikaenda sehemu nyingine,haya mambo bwana ni ya ajabu sana
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Ule mchezo mtamu.. napumzika siku sina cent mfukoni.. 🀣🀣 bila ivyo Kila siku napelekea moto
 
We mwambie ukweli tu.. tatizo unawaza sana.
 
Na wakati napanga foleni, akimaliza kukazwa na mie namubebaa... Haya mambo akili tu, nimeanza kununua makunyanzia toka 2000.. sijawai hata kinai.. hela ambazo nanunua ningewekeza ingekuwa kama ghorofa mojaaa walahii.. πŸ˜…πŸ˜…
Body count ni ngapi Mkuu?
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Ule mchezo mtamu.. napumzika siku sina cent mfukoni.. 🀣🀣 bila ivyo Kila siku napelekea moto
Ila sikuwahi kuwa na mashaka na afya yangu kwa mabar med kwakuwa natumia kinga kama nilivyokuwa na mashaka na kibint cha 2000,hiki nilipima nacho tupo fresh,baadae nikasikia kina mambo mengi,yan nilijilaumu hata kwanini nilipima nae

Maana ni bora ningetumia kinga tu,ila huwa sipendi kuwa na mashaka,nikaenda kupima niko sawa, uzur wa mabar med wanakuja na vyandarua kabisa,huwa najipanga mapema na silaha zangu nikijua leo naenda kulala huko

Ila napambana niachane na huo uraibu
 
πŸ˜…πŸ˜… Nisha fail kutumia Kinga.. si enjoy kabisa.. huwa nafanya chini juu nimshawishi anipe dry au naipasua kininjaa.. Raha nyama zikiumanaa aiseee.. mie huwa siwazi mambo ya afya aisee.. na Wala huwa sitaki kuyafikiria.. kifo ni kifo.. isipokuwa naogopa Gono
 
Ukiwa mwanaume kupanga convo ya mwanamke km hivyo ni rahisi, kwa ground mambo tofauti hakuna ke mwenye majibu hayo [emoji81][emoji81]
Hiyo n demo tu mi nimefungua code namna ya kuanza
 
sijawahi kua domo zege ila kuna Dada nshawahi kumpenda na sikuwahi kumwambia.... zulfa mhina popote uliko nakupenda mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…