Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Mambo ni mengi siwezi kuweka yote hapaMligombana kisa nini? Tuanzie hapo kwanza
Ahsante rafikiMtongoze
Weka hata machache ili wajue namna ya kukushauriMambo ni mengi siwezi kuweka yote hapa
Ila hakuna masuala ya aibu ni family misunderstanding za kawaida ila hataki yaishe mkii
Hii unaharibu zaidiLa kufanya n kujitaidi umzidi kete kiutaftaji. Huo ugomvi n kama yeye yupo juu kimaisha na hataki mzigo mwingne ambao n wewe. Kwan huo ugomvi wenu utakausha mtu damu? Mkaushie kwan sa ivi umekua na utoto umeacha bas hata kama ameolewa acha hata kumsalimia mme wake yan wafute kwanza ndan ya mwaka mmoja tu afu mengne yatafata
Jaribu hiiFunga safari mfuate kwake, nenda na zawadi.
Ikifika msiongee ugomvi kabisa, mwambie umeenda kumsalimia na familia,
Usikae saana, nusu saa inatosha ondoka.
Then vuta subira, Baada ya miezi mi3 mi4 fanya tenna, ikifika 4 times atapoa.
mtu akimwaga mboga na wewe mwaga ugali na utobe masufuria kabisaa. Mme wake ndo atakua daraja la kuwaunganisha kama hujui sasa coz atamuuliza dadako kulikon na akijua ukweli atakupatanisha na huyo dadako ila kama unawategemea kwa yote ndo itakua ngumu.Hii unaharibu zaidi