Nina ugomvi mkubwa na dada Yangu..nitumie njia Gani kuleta amani?

Niligombana na dada Yangu miaka ya 2018..kwa sababu mbalimbali zikiwemo utoto wangu kwa wakati ule na weekness zake.

Sasa ni miaka Mingi imepita hatuongea hata nikijaribu kumtafuta napokea matusi TU ya nguoni..

Mama hana la kusema kwasababu ameshasema sana juu ya hili lakini naona ni changamoto hakuna solution

Je nitumie njia Gani kuleta amani na dada Yangu. Natamani tuwe na amani ili kujenga uhusiano mzuri wa kifamilia ila mwenzangu naona hasahau
Naombeni ushauri
Jishushe wewe kuwa mdogo kwake kili mambo
 
Binadamu tunatofautiana sana. Mimi mtu akinikasirikia halafu hataki tupatane, naachana naye hata awe ndugu yangu wa damu
Ila kwa kuwa wewe unataka mahusiano yenu yaendelee, endelea kupambana, natumai ipo siku mtakuja kuelewana. It takes time
 
Mimi nilikua naelewana na mdogo wangu lakin akaleta za kuleta kisa mme wake ana hela nilichokifanya niliwakaushia hamna cha kuwasiliana kuanzia watoto had mme wake hadi namba nikachange. Nimekaa miaka 11 hadi mwaka jana wakapata namba yangu kutoka kwa mama nashangaa wananibembeleza tena wote mpaka wakatuma nauli ya tiket ya ndege niende kwao hela nikalewa na marafiki ili kuwa furaha mara ya mwisho walikata tiket wenyewe tena wakinyenyekea ikabd niende tukayamalza lakn kwao naenda kwa kulazmishana
Maskini jeuri ndo hii sasa.
 
Niligombana na dada Yangu miaka ya 2018..kwa sababu mbalimbali zikiwemo utoto wangu kwa wakati ule na weekness zake.

Sasa ni miaka Mingi imepita hatuongea hata nikijaribu kumtafuta napokea matusi TU ya nguoni..

Mama hana la kusema kwasababu ameshasema sana juu ya hili lakini naona ni changamoto hakuna solution

Je nitumie njia Gani kuleta amani na dada Yangu. Natamani tuwe na amani ili kujenga uhusiano mzuri wa kifamilia ila mwenzangu naona hasahau
Naombeni ushauri
Ni ngumu sana kuelewana, iyo imetoka.
Muhimu ni Kumpa heshima Kama dada basi.
 
Back
Top Bottom