Nina ugomvi mkubwa na dada Yangu..nitumie njia Gani kuleta amani?

Jishushe wewe kuwa mdogo kwake kili mambo
 
Binadamu tunatofautiana sana. Mimi mtu akinikasirikia halafu hataki tupatane, naachana naye hata awe ndugu yangu wa damu
Ila kwa kuwa wewe unataka mahusiano yenu yaendelee, endelea kupambana, natumai ipo siku mtakuja kuelewana. It takes time
 
Maskini jeuri ndo hii sasa.
 
Ni ngumu sana kuelewana, iyo imetoka.
Muhimu ni Kumpa heshima Kama dada basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…