Nina ugomvi mkubwa na dada Yangu..nitumie njia Gani kuleta amani?

Kusema ni mambo ya "kawaida" na umeyafanya mara nyingi lakini dada yako akayachukulia "out of propotion" Inaonesha hujutii uliyoyafanya..

Unaomba msamaha kwa vile jambo unavyolichukulia lakini si kwa alivyochukulia yeye.

Na kama ulifanya makosa hata kama ni madogo, kwa mara nyingi inamaanisha kuna mara nyingi alisamehe, akapuuza na kuvumilia. Ila siku alipofika mwisho. Akaona akutoe kwenye list yake aishi kwa amani

Sasa kama wewe unataka kurudi kwenye maisha yake. Kwanza juta na usichukulie hisia zake kiuwepesi kama mwanamke aliyekukinai.

Usiombe msamaha kama ni stahiki yako. Omba msamaha kama kitu unachpaswa kufanya

Pia tafuta watu anaowaheshimu, lazma atawasikiliza hususani kama umebadili kero zako.

Ila kama bado mkuu, hata mimi nitamuunga mkono kuendelea na misimamo yake
 
Ushauri mzuri sana huu akimwaga mboga simwagi ugali naubeba naondoka nao.
 
songa mbele na maisha yako gentleman,
huna haja ya kuongeza chanagamoto zaidi kwenye mahangaiko ya maisha yako.

ugomvi wa familia ya Israel na Palestina hauwezi kwisha daima na milele
 
Kaolewa? Kama kaolewa mtumie mumewe kumseti. Au na shemeji yako hamuelewani bwa mdogo?
 

Masikini jeuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…