malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Nilimtafuta dawa Bei kubwa sana
Tafuta tangawizi 1, vitunguu swaumu punje 7 (saga pamoja), sagia kitunguu maji 1 katia na kipande cha limao.
Kunywa 1*3
Mchana tikiti maji kipande1, parachichi 1, ndizi 2, karanga mbichi kiganja.
jioni saa 12 chai ya karafuu, hiriki, mdalasini, asali na karanga tena.
Ndani ya wiki 2 mambo safi.
Mazoezi muhimu sana, kamba, squats, bridge legs, baiskeli.Shida imeanzia hapo kwenye wasiwasi..
Wasi wasi ni sumu namba 1.
Fanya mazoezi, punguza hizo kilo jitahidi zirudi kwenye 60 hivi, halafu tumia vitu Intelligent businessman
Kakushauri, fanya hivyo miezi miwili mpaka mi3, utapona usipopona hapo njoo, tukusaidie zaidi
Mna angaika sana....mwili ni kama gari lazima uchoke na muda wa kuchoka umetofautiana kutokana na mambo mbalimbali kama magonjwa ajali umri...nkHabar mim baba wa watoto4 Umri miaka38 Niko matatizo la hyperthyroidism diffused multnodullar goita kwa miaka3,Sasa hapo awali kabla ya huu ugonjwa wa hyperthyroidism nlikua nashida ya nguvu zakiume kwa miaka7,
Sasa baada kuhainga nakuwa ktk dozi ya hyperthyroidism nguvu zakiume zilizid kupingua nkakutana na Prof wa urology akanisdikia dawa ya tadalafili mg5 ili kutibu shida ya nguvu zakume,Sasa nimetumia dawa hii ya tadalafili kwa mara20+ ktk vipindi tofaut ndani yamiaka3 ila tatizo la nguvu zakiume haijaisha na pia hyperthyroidism ipo pale pale
Sasa Hadi Sasa Sina hisia kabisa na mke nguvu hamna nkiwa usingizini uume inasimama vizur tu,ila nkimuhitaji mke hata tukiandaana Sina msisimuko uume hausima au unaweza simama legelege nkiingiza ukeni unalala,Hali hii imepelekea kuwa na hofu nawasiwasi pindi mke ahitajipo tendo au mim nkihataji bas ntajikuta siwezi uume haisimami,Hali hii ipo kwa kipindi kirefu Sasa zaid ya miaka3 tangu niwe hyperthyroidism nahata kabla pia
Mpaka nimewaza vibaya kuwa au ntakupa nimerongwa ila staki kuamini mambo ya ushirikina
Mara magonjwa hayaishi kuniandama kwa miaka12 Sasa mara uzito mkubwa,mara preshha,mara bawasili,mara hyperthyroidism yaan linatola hili linakuja Lile
Naweza kaa mwezi sijashiriki tendo sababu ya hyperthyroidism na kwakuogopa kufeli nawasiwasi hofu yakushindwa nanikijaribu bas uume utasimama ukiingia sekunde unalala ukeni au hautasimama kabisa,nna kg80 urefu 164cm,BP 137/90,140/84 prc70,60
Wakuu nauhitaji msaada wenu waushauri na matibabu.pia tangu juzi nimeanza hisi maumivu ya korodani moja sjui ni ngiri ana
Wewe umekuja na huku,ulishwandwa lile swali, sikupi jibu...Mna angaika sana....mwili ni kama gari lazima uchoke na muda wa kuchoka umetofautiana kutokana na mambo mbalimbali kama magonjwa ajali umri...nk
Ulisha sema natumia AI basi siwezi kukusahidia πΆπΆπΆWewe umekuja na huku,ulishwandwa lile swali, sikupi jibu...
Haya fanya hili la chekechea kama unaweza......
View attachment 3488256
πTafuta tangawizi 1, vitunguu swaumu punje 7 (saga pamoja), sagia kitunguu maji 1 katia na kipande cha limao.
Kunywa 1*3
Mchana tikiti maji kipande1, parachichi 1, ndizi 2, karanga mbichi kiganja.
jioni saa 12 chai ya karafuu, hiriki, mdalasini, asali na karanga tena.
Ndani ya wiki 2 mambo safi.
Kwaiyo ushauri wako ni upi boss Nini nifanye niponeKwa hilo tatizo lako approach yangu ni kama ifuatavyo.
Kuondoa inflammation.
Kwa kutumia diet(sio mboga na matunda) na fasting Kupunguza stress ya mwili kusaga chakula na concentration iwe kwenye healing.
Liver detox.
Una historia ya magonjwa huko nyuma obviously ini limekuwa katika kazi ya ziada.
Heart rhythm.
Unaweza kuona havihusiani Ila watu wengine wanakuwa misdiagnosed na hiyo ishu ya nguvu za kiume problem si hyperthyroidism bali ni metabolism problem.
Rebuild stage.
Tatizo la thyroid litakuwa address separate kwa herbs kama Lycopus, Melissa n.k.
So ku deal na ishu yako nahtajika total reset ya mwili, Naongelea in herbal protocol sio symptoms treatment.
Hii reset itachukua miezi mpaka kuwa Sawa.
Kama unataka magic pill ngoja wataalamu waje.
π
Kuwa serious basi jamaa anaumwa
Hivi wewe hauna dawa kweli?Pole sana. Mungu Atajaalia Utapata ufumbuzi wa tatizo lako
Anza na diet. Ketogenic diet. High fat and zero carbohydrates. Nyama nyekundu yenye mafuta mengi hasa ng'ombe, mbuzi, kondoo,samaki wenye mafuta mengi. Mafuta mengi itakuwa source ya energy badala ya sukari ambayo ni chanzo Cha inflammation.Kwaiyo ushauri wako ni upi boss Nini nifanye nipone
Pole sana nduguHabarini, mimi ni baba wa watoto wanne, nina umri wa miaka 38. Nimekuwa nikiugua hyperthyroidism (diffused multinodular goiter) kwa miaka mitatu sasa.
Kabla ya kuanza kuugua hyperthyroidism nilikuwa na tatizo la nguvu za kiume kwa takriban miaka saba.
Baada ya kugundulika na hyperthyroidism, tatizo la nguvu za kiume lilizidi kuongezeka. Nilimwona Profesa wa magonjwa ya mfumo wa mkojo (Urology) ambaye aliniandikia dawa ya Tadalafil 5mg ili kusaidia kurejesha nguvu za kiume.
Nimekuwa nikitumia dawa hii kwa zaidi ya mara 20 katika vipindi tofauti ndani ya miaka mitatu, lakini tatizo halijaisha na hyperthyroidism bado ipo.
Kwa sasa sina hamu kabisa ya tendo la ndoa na nguvu za kiume zimepungua. Nikiwa usingizini uume unasimama vizuri, lakini nikijaribu kushiriki tendo na mke wangu, hamu haipo kabisa.
Wakati mwingine uume hausimami, au ukisimama unakuwa legelege na unalala mara tu ninapoanza tendo. Hali hii imeniletea hofu na wasiwasi kila ninapotarajia au kuhitajika kushiriki tendo.
Tatizo hili limekuwepo kwa zaidi ya miaka mitatu sasa, tangu nipate hyperthyroidism, na hata kabla yake kulikuwa na dalili. Wakati mwingine nawaza labda nimerogwa, ingawa sitaki kuamini mambo ya kishirikina.
Kwa miaka 12 sasa nimekuwa nikikumbwa na changamoto mbalimbali za kiafya mfululizo. Wakati mwingine ni uzito mkubwa, mara shinikizo la damu, mara bawasiri, kisha hyperthyroidism. Tatizo moja linaisha, jingine linaanza.
Kwa sasa naweza kukaa mwezi mzima bila kushiriki tendo kutokana na hali ya hyperthyroidism pamoja na hofu ya kushindwa kufanya tendo. Nikijaribu, uume unasimama sekunde chache kisha unalala au hausimami kabisa.
Uzito wangu ni kilo 80, urefu 164 cm. Shinikizo la damu limekuwa kati ya 137/90 hadi 140/84, mapigo ya moyo 60β70 kwa dakika.
Kuanzia juzi pia nimeanza kuhisi maumivu kwenye korodani moja, sijui kama ni ngiri au tatizo lingine.
Naomba ushauri wa kitaalamu na njia sahihi za matibabu.