sawa.Nilimtafuta dawa Bei kubwa sana
Pole sana brother njoo PM nitakusaidia buree suala nguvu za kiumeHabarini, mimi ni baba wa watoto wanne, nina umri wa miaka 38. Nimekuwa nikiugua hyperthyroidism (diffused multinodular goiter) kwa miaka mitatu sasa.
Kabla ya kuanza kuugua hyperthyroidism nilikuwa na tatizo la nguvu za kiume kwa takriban miaka saba.
Baada ya kugundulika na hyperthyroidism, tatizo la nguvu za kiume lilizidi kuongezeka. Nilimwona Profesa wa magonjwa ya mfumo wa mkojo (Urology) ambaye aliniandikia dawa ya Tadalafil 5mg ili kusaidia kurejesha nguvu za kiume.
Nimekuwa nikitumia dawa hii kwa zaidi ya mara 20 katika vipindi tofauti ndani ya miaka mitatu, lakini tatizo halijaisha na hyperthyroidism bado ipo.
Kwa sasa sina hamu kabisa ya tendo la ndoa na nguvu za kiume zimepungua. Nikiwa usingizini uume unasimama vizuri, lakini nikijaribu kushiriki tendo na mke wangu, hamu haipo kabisa.
Wakati mwingine uume hausimami, au ukisimama unakuwa legelege na unalala mara tu ninapoanza tendo. Hali hii imeniletea hofu na wasiwasi kila ninapotarajia au kuhitajika kushiriki tendo.
Tatizo hili limekuwepo kwa zaidi ya miaka mitatu sasa, tangu nipate hyperthyroidism, na hata kabla yake kulikuwa na dalili. Wakati mwingine nawaza labda nimerogwa, ingawa sitaki kuamini mambo ya kishirikina.
Kwa miaka 12 sasa nimekuwa nikikumbwa na changamoto mbalimbali za kiafya mfululizo. Wakati mwingine ni uzito mkubwa, mara shinikizo la damu, mara bawasiri, kisha hyperthyroidism. Tatizo moja linaisha, jingine linaanza.
Kwa sasa naweza kukaa mwezi mzima bila kushiriki tendo kutokana na hali ya hyperthyroidism pamoja na hofu ya kushindwa kufanya tendo. Nikijaribu, uume unasimama sekunde chache kisha unalala au hausimami kabisa.
Uzito wangu ni kilo 80, urefu 164 cm. Shinikizo la damu limekuwa kati ya 137/90 hadi 140/84, mapigo ya moyo 60–70 kwa dakika.
Kuanzia juzi pia nimeanza kuhisi maumivu kwenye korodani moja, sijui kama ni ngiri au tatizo lingine.
Naomba ushauri wa kitaalamu na njia sahihi za matibabu.
Ww unazitaka kwa matumizi ya ninPole sana mdau...! Tadalafil 5g umezipata wapi. Mimi nimezisaka sana bil mafanikio wengi wanauza 20g
Pole sana mkuu.Habarini, mimi ni baba wa watoto wanne, nina umri wa miaka 38. Nimekuwa nikiugua hyperthyroidism (diffused multinodular goiter) kwa miaka mitatu sasa.
Kabla ya kuanza kuugua hyperthyroidism nilikuwa na tatizo la nguvu za kiume kwa takriban miaka saba.
Baada ya kugundulika na hyperthyroidism, tatizo la nguvu za kiume lilizidi kuongezeka. Nilimwona Profesa wa magonjwa ya mfumo wa mkojo (Urology) ambaye aliniandikia dawa ya Tadalafil 5mg ili kusaidia kurejesha nguvu za kiume.
Nimekuwa nikitumia dawa hii kwa zaidi ya mara 20 katika vipindi tofauti ndani ya miaka mitatu, lakini tatizo halijaisha na hyperthyroidism bado ipo.
Kwa sasa sina hamu kabisa ya tendo la ndoa na nguvu za kiume zimepungua. Nikiwa usingizini uume unasimama vizuri, lakini nikijaribu kushiriki tendo na mke wangu, hamu haipo kabisa.
Wakati mwingine uume hausimami, au ukisimama unakuwa legelege na unalala mara tu ninapoanza tendo. Hali hii imeniletea hofu na wasiwasi kila ninapotarajia au kuhitajika kushiriki tendo.
Tatizo hili limekuwepo kwa zaidi ya miaka mitatu sasa, tangu nipate hyperthyroidism, na hata kabla yake kulikuwa na dalili. Wakati mwingine nawaza labda nimerogwa, ingawa sitaki kuamini mambo ya kishirikina.
Kwa miaka 12 sasa nimekuwa nikikumbwa na changamoto mbalimbali za kiafya mfululizo. Wakati mwingine ni uzito mkubwa, mara shinikizo la damu, mara bawasiri, kisha hyperthyroidism. Tatizo moja linaisha, jingine linaanza.
Kwa sasa naweza kukaa mwezi mzima bila kushiriki tendo kutokana na hali ya hyperthyroidism pamoja na hofu ya kushindwa kufanya tendo. Nikijaribu, uume unasimama sekunde chache kisha unalala au hausimami kabisa.
Uzito wangu ni kilo 80, urefu 164 cm. Shinikizo la damu limekuwa kati ya 137/90 hadi 140/84, mapigo ya moyo 60–70 kwa dakika.
Kuanzia juzi pia nimeanza kuhisi maumivu kwenye korodani moja, sijui kama ni ngiri au tatizo lingine.
Naomba ushauri wa kitaalamu na njia sahihi za matibabu.
Uzito wako unatakiwa kua kati ya Kg 50 mpaka 67Pole sana ndugu
Kwa sasa, ningependekeza:
1. Ufuatiliaji wa Tiba ya Hyperthyroidism: Ni muhimu kushauriana tena na mtaalamu wako wa magonjwa ya Endocrinology kuhusu matibabu ya hyperthyroidism yako. Matatizo ya nguvu za kiume yanaweza kuongezeka ikiwa tatizo la thyroid halijatibiwa ipasavyo. Hivyo, hakikisha kwamba unaendelea kufuatilia matibabu yako na kuangalia kama kuna uwezekano wa marekebisho ya dozi au mbinu nyingine ya kutibu hyperthyroidism.
2. Uchunguzi wa Tatizo la Korodani: Maumivu kwenye korodani moja yanaweza kuwa ni dalili ya tatizo la hernia au la zingine, kama vile epididymitis au infeksheni. Hii ni muhimu kuchunguzwa na daktari wa magonjwa ya mfumo wa mkojo au mtaalamu wa upasuaji ili kujua chanzo cha maumivu hayo na kupata matibabu sahihi.
3. Matibabu ya Erectile Dysfunction (ED): Tadalafil inaweza kuwa haifanyi kazi vizuri ikiwa tatizo linahusiana na hali ya juu ya homoni au shinikizo la damu. Ikiwa hujafanya hivyo tayari, unaweza kuzingatia kufanya uchunguzi wa kina kuhusu homoni zako (kwa mfano, testosterone, prolactin, nk.) pamoja na afya yako ya moyo. Uwezekano wa tatizo la kisukari pia unaweza kufuatiliwa, kwani kisukari pia kinaweza kuchangia ED.
4. Mashauri ya Kisaikolojia: Kuishi na hali ya kiafya kama hii mara nyingi kunaweza kusababisha wasiwasi na hofu, ambayo pia inaweza kuathiri nguvu za kiume. Kuwasiliana na mtaalamu wa afya ya akili (psychologist) au mshauri wa afya ya kijinsia kunaweza kuwa na manufaa katika kupunguza shinikizo na kuboresha hali yako ya kihisia, ambayo inachangia sana katika utendaji wa tendo la ndoa.
5. Shinikizo la Damu: Shinikizo la damu unaloshuhudia linaweza pia kuwa na athari kwa nguvu za kiume, hivyo ni muhimu kuendelea kufuatilia shinikizo lako la damu na kuzingatia mabadiliko ya mtindo wa maisha kama vile kupunguza chumvi, kufanya mazoezi, na kula vyakula bora. Dawa za shinikizo la damu pia zinaweza kuchangia matatizo ya nguvu za kiume, hivyo ni jambo la muhimu kulizungumzia na daktari wako.
Daaa Asante kwa ushauri mzuri sana naufanyia kazi ushauri wako.ila Sasa Nina madonda ya tumboPole sana mkuu.
Unaweza kupona kabisa bila vidonge wala kumuona daktari bingwa wala maombi.
Anza kujitibu mwenyewe kuanzia ndani yako. Ugonjwa au uzima unatengenezwa na mawazo yako mwenyewe. Unaweza kabisa kuondoa hayo magonjwa kupitia wewe mwenyewe.
1. Jiwazie mema na kwamba hali uliyonayo ilikufika ili upate fundisho ya jambo fulani muhimu kwenye maisha.
2. Badilisha mfumo wa chakula. Tumia vyakula vya asili vyenye virutubisho muhimu. Achana na wanga na sukari na vyakula vyote vya viwandani na ikiwezekana kula mara moja tu kwa siku kwa muda usiopungua siku 90, au kama utashindwa kabisa kula mara moja basi kunywa chai saa 4asbh na chakula cha jioni saa 10 jioni na usile tena chochote mpaka kesho yake saa 4 asubuhi tena. Ukifanikiwa huo mtindo wa maisha tatizo lako litakwisha kabisa. Lakini tenga siku 1 ya kufunga kula masaa 24 kwa kila wiki.
3. Jitahidi ulale mapema, saa 3 usiku na uamke saa 11 alfajiri. Punguza matumizi ya simu na TV 1hour kabla hujalala.
4. Fanya tafakuri (meditation) ya dakika hata 10 kabla ya kulala na alfajiri ukiamka.
Ukifanya hayo kwa miezi mitatu mfululizo utapona kabisa.
Hiyo sio sifa nzuri mkuu. Viondoe akilini na wala usiiaminishe akili yako kwamba unamiliki vidonda vya tumbo. Anza ku tune akili yako kinyume nyume, kila ulichofundishwa, kusikia au ku experience katika maisha yako anza kukifikiria vinginevyo. Nakuhakikishia ukifanikiwa kuuona mwili wako wa ndani utapona haraka sana.Daaa Asante kwa ushauri mzuri sana naufanyia kazi ushauri wako.ila Sasa Nina madonda ya tumbo
Ongea na ChatGPT atakupa pa kuanzia, nime solve issues nyingi sana za kimaisha tena vizuri bila kutumia professionals, hiyo kitu ina akili kuliko wenye PhD sHabarini, mimi ni baba wa watoto wanne, nina umri wa miaka 38. Nimekuwa nikiugua hyperthyroidism (diffused multinodular goiter) kwa miaka mitatu sasa.
Kabla ya kuanza kuugua hyperthyroidism nilikuwa na tatizo la nguvu za kiume kwa takriban miaka saba.
Baada ya kugundulika na hyperthyroidism, tatizo la nguvu za kiume lilizidi kuongezeka. Nilimwona Profesa wa magonjwa ya mfumo wa mkojo (Urology) ambaye aliniandikia dawa ya Tadalafil 5mg ili kusaidia kurejesha nguvu za kiume.
Nimekuwa nikitumia dawa hii kwa zaidi ya mara 20 katika vipindi tofauti ndani ya miaka mitatu, lakini tatizo halijaisha na hyperthyroidism bado ipo.
Kwa sasa sina hamu kabisa ya tendo la ndoa na nguvu za kiume zimepungua. Nikiwa usingizini uume unasimama vizuri, lakini nikijaribu kushiriki tendo na mke wangu, hamu haipo kabisa.
Wakati mwingine uume hausimami, au ukisimama unakuwa legelege na unalala mara tu ninapoanza tendo. Hali hii imeniletea hofu na wasiwasi kila ninapotarajia au kuhitajika kushiriki tendo.
Tatizo hili limekuwepo kwa zaidi ya miaka mitatu sasa, tangu nipate hyperthyroidism, na hata kabla yake kulikuwa na dalili. Wakati mwingine nawaza labda nimerogwa, ingawa sitaki kuamini mambo ya kishirikina.
Kwa miaka 12 sasa nimekuwa nikikumbwa na changamoto mbalimbali za kiafya mfululizo. Wakati mwingine ni uzito mkubwa, mara shinikizo la damu, mara bawasiri, kisha hyperthyroidism. Tatizo moja linaisha, jingine linaanza.
Kwa sasa naweza kukaa mwezi mzima bila kushiriki tendo kutokana na hali ya hyperthyroidism pamoja na hofu ya kushindwa kufanya tendo. Nikijaribu, uume unasimama sekunde chache kisha unalala au hausimami kabisa.
Uzito wangu ni kilo 80, urefu 164 cm. Shinikizo la damu limekuwa kati ya 137/90 hadi 140/84, mapigo ya moyo 60–70 kwa dakika.
Kuanzia juzi pia nimeanza kuhisi maumivu kwenye korodani moja, sijui kama ni ngiri au tatizo lingine.
Naomba ushauri wa kitaalamu na njia sahihi za matibabu.
Nime copy and paste swali lako kwa ChatGPT, jibu…Habarini, mimi ni baba wa watoto wanne, nina umri wa miaka 38. Nimekuwa nikiugua hyperthyroidism (diffused multinodular goiter) kwa miaka mitatu sasa.