Sasa kwanini mtume adanganye zimeshushwa wakati ni Hadith zilizokuepo kuhusu yesu mbona kwenye ukristo iko wazi Kuna agano jipya na la kale na ukristo uko wazi mwasisi wake ni yesu kristo.Mitume katika uislamu walikua wanakuja kurekebisha walimwengu waliokengeuka. So mtume alikuja kusahihisha panapokosewa.
Ukitumia kigezo cha muda kuna watu walikuwepo kabla kuzaliwa yesu na walikua na dini zao, bas tuseme hadithi za kiebrania zinazoitwa za kikristo pia ni za kukopi kwa dini iliyokuwepo kabla yake.
Na unaposema ni HADITHI unamaanisha nn hasa?
utamtumikia vipi huyo Mungu bila kufwata mafundisho ya hizo dini mnazotumia nguvu kuziponda kila.siku? haya mfano wewe ukitaka kumtumikia Mungu unafwata mafundisho gani? yakutokea wapi?Tatizo watu wanapenda conclusion
Alafu watu wengi wanajua Mungu ni dini
Dini sio Mungu.
MAfundisho ya Mungu ni ya Mungu.utamtumikia vipi huyo Mungu bila kufwata mafundisho ya hizo dini mnazotumia nguvu kuziponda kila.siku? haya mfano wewe ukitaka kumtumikia Mungu unafwata mafundisho gani? yakutokea wapi?
ukibadili dini ya uislam unachinjwa , ila wakristu hatuna muda na maisha ya mtu , kila mtu asimame na imani yakeUkichunguza wengi wanaopinga kuhusu uwepo wa Mungu utagundua huko nyuma walikuwa ni wakristo. Ni nadra sana kumkuta muislamu abadilike kuwa Atheist.
Hii inazidi kuthibitisha kuwa uislamu ndio dini ya kweli.
Uislam upo?,huu ambao unaamin kuwa mtu mdhamb atapigwa virungu kaburini?,au upi?,huu ambao unaamin Issah bin Mariam atarud mara ya pili?,nyie na wakristo n watumwa tena kondoo mliopotea wa nyumba ya IsraelUkichunguza wengi wanaopinga kuhusu uwepo wa Mungu utagundua huko nyuma walikuwa ni wakristo. Ni nadra sana kumkuta muislamu abadilike kuwa Atheist.
Hii inazidi kuthibitisha kuwa uislamu ndio dini ya kweli.
Religions are not perfect,hiz zinazodanganya kuwa watu watachomwa moto?Religions are perfect but people can never be perfect
Uislam na ukristo ulikuwepo kipind Cha Ibrahim?,utamtumikia vipi huyo Mungu bila kufwata mafundisho ya hizo dini mnazotumia nguvu kuziponda kila.siku? haya mfano wewe ukitaka kumtumikia Mungu unafwata mafundisho gani? yakutokea wapi?
Wakati huo tuna kunywa nao pombe,na kula kitimoto..huku wakihofia vichwa vyao visitenganishwe na mwili.Ukichunguza wengi wanaopinga kuhusu uwepo wa Mungu utagundua huko nyuma walikuwa ni wakristo. Ni nadra sana kumkuta muislamu abadilike kuwa Atheist.
Hii inazidi kuthibitisha kuwa uislamu ndio dini ya kweli.
wewe unafwata mafundisho ya Mungu kupitia kitabu au chanzo.gani?achana na hizo dini zinazoua nnakuliza wewe inajuaje haya mafundisho ya Mungu unayotaka kuamini? kwan hizo dini unazosema za uongo hazi fundishi upendo?MAfundisho ya Mungu ni ya Mungu.
Dini inakufundisha namna ya kufanya ili umfikie Mungu
Kama kuna dini moja inayowaambia watu kuwa wakiua mtu asieamini kama wao basi atapokelewa na Mungu wao. Sasa huoni huo ni uduanzi.
Then make it hearts are perfect but people are not, because hearts tell us if something is right or wrong but we do it anywayNo they are not, true religion lies in ur heart not these institutions
Ni nini?Dogma
Religion is on your heart, kila jambo nafsi yako hukuambia kama ni baya au zuri kabla ya kulifanyaReligions are not perfect,hiz zinazodanganya kuwa watu watachomwa moto?
Mkuu hiki kichekesho unabonyeza ngapi hivi kukipataUkichunguza wengi wanaopinga kuhusu uwepo wa Mungu utagundua huko nyuma walikuwa ni wakristo. Ni nadra sana kumkuta muislamu abadilike kuwa Atheist.
Hii inazidi kuthibitisha kuwa uislamu ndio dini ya kweli.
Hahah kuna nini cha ziada humo?Ukichunguza wengi wanaopinga kuhusu uwepo wa Mungu utagundua huko nyuma walikuwa ni wakristo. Ni nadra sana kumkuta muislamu abadilike kuwa Atheist.
Hii inazidi kuthibitisha kuwa uislamu ndio dini ya kweli.
Ewaaa dini ni moyo wakoReligion is on your heart, kila jambo nafsi yako hukuambia kama ni baya au zuri kabla ya kulifanya
Then prove his existence.What I know is GOD exist......
Kila mtu alizaliwa Atheist bila imani ya aina yeyote ile. Hata wewe ulizaliwa Atheist bila imani ya aina yeyote ile.Ukichunguza wengi wanaopinga kuhusu uwepo wa Mungu utagundua huko nyuma walikuwa ni wakristo. Ni nadra sana kumkuta muislamu abadilike kuwa Atheist.
Hii inazidi kuthibitisha kuwa uislamu ndio dini ya kweli.
Hili swali alishalijibu "Antony Szandor larvey " alikuwa mkatoliki na mpiga organ kanisani ila siku za wiki alikuwa na kawaida ya kujiingizia kipato kupitia kupiga piano kwenye carnivals mbali mbali ujerumani .Sisi ni nani, Kwanini tuwe sisi, Kwanini tuwe kama wao.
Hivi kiundani ushajiuliza imekukuaje umekuwa wa dini hio? Kwa nini uamini kirahisi rahisi juu ya stori zao ambazo muda mwingine akili yako inazipa red flags (alerts) kwa maana ni somewhat controversial?
Unaweza kuta kweli njia wanayooiongelea ni sahihi ila wanaitumia kama technique ya kukufanya kuwa sehemu ya genge lao.
Nini dhumuni la genge lao, kumiliki dunia? Kuwatumia watu kuwa jeshi kupigania chuki zao dhidi ya kundi lingine?
Kwanini wawe tena tofauti, kama ni watoto wa muumbaji mmoja kwa nini wachukiane.
Sisi ni product ya itikadi zao, wengine walikuwa sociopaths, wengine psychopath , wengine walikuwa wapenda vita(war mongers), wengine walikuwa ni taifa katili,
Ila leo ndio tumeamua kuwa ndio wawe mashujaa wetu huku tukijietengenezea hofu kuwa tuki wa-criticize tutalaanika.
THINK, THINK AGAIN.