covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 8,355
- 20,792
Kwanza kwa nafasi alizoshika na hadhi yake, ni vigumu mno kwa mtu kama yeye kuuawa kirahisi, nitafafanua kwa nini hilo ni gumu kutekerezwa,
Polepole hakuwa mtu wa kawaida. Ni senior citizen, mwanaccm kindakindaki, na mtu aliyekuwa sehemu ya mfumo wa juu wa chama na serikali. Sio kama wale wanaharakati wa kawaida au kina mdude na the like wanaoweza kushambuliwa waziwazi. Fikiria ilivyokuwa ngumu hata kumuangamiza Tundu Lissu, mwanasiasa senior wa upinzani, sembuse Polepole ambaye ni “mtoto wa nyumbani.”
Ndugu zangu Polepole ni mwanaccm waliomchukuwa wamepewa amri na viongozi ambao ni wanaccm hawa watu wanajuana na wananamna zao za kunyooshana pili nina uhakika hata sasa yupo sehemu salama kabisa tena kwenye makazi yenye hadhi ya uongozi kama tetesi kutokwa Maria Sarungi alivyosema yaani ni mfugwa mwenye hadhi ya kisiasa,
Polepole kwa nafasi na hadhi aliyopata na kutumikia nchi hii haiwezekani na haitawezekana kuweka kwenye kachumba eti wamtese hilo halipo na halitakuwepo mambo kamahayo yapo kwenye nchi za kimapinduzi kwa level yake teyari alikuwa kila siku anafanya kazi na wakuu mbalimbali kutoka serikali, na kwenye vyombo vya ulinzi na usalama ninauhakika wakuu wote wa vyombo wanajua alipo na nini hatma yake hakuna kichaa ambaye anaweza kumteka Polepole akaenda kumbananga anavyojisiakia bila wakuuwa vyombo kupewa taarifa ya nini kinaendelea..
Enzi za Mwalimu Nyerere, Rais wa Zanzibar, Aboud Jumbe, aliwahi kufungwa kifungo cha ndani — tukio lililomaliza kabisa urais wake. yaani mtu ametoka zanzibar rais ameingia gogoni ikulu akatoka sio rais tena raia wa kawaida tu mfungwa na akafichwa huko.
Ninauhakika kwa hili la Polepole mama samia nayeye ni mtazamaji kama sisi kama kawaida machawa na wazee wa kujipendekeza wamenunua kesi na wameimaliza kesi unganisheni doti kuna kiongozi sasa hivi anatamba sana anafanya anachokitaka kwenye kampeni popote anakanyaga anavyojisikia gari zake za kampeni ameweka mabaka kama ya jeshi ni kama kuna kazi kubwa amefanya sasa anatumia rewads zake.
Kingine wanao weweseka na kubabaika mara Polepole yupo kituo hiki mara mafwewe kafanya hivi wanaandika kila kinachowajia kichwani ni wanaharakati na wanasiasa wa vyama pinzani hakuna mwanaccm senior amejishughulisha na mitandao wote wapo kimya yaani unataka kusema wakina mzee warioba wajue Polepole ameuliwa alafu wawe comfortable tu kijana wao mzalendo na asiye na mawaa.
Yaani samia atoe amri Polepole auliwe mtu ambaye amefanya nae kazi karibu miaka 8 kwa karibu alafu hapohapo yeye aendelee na mikutano ya kampeni kama kawaida thubutu sio rahisi hivyo!
CCM ni chama chenye historia ya migongano ya ndani, lakini hufikia wakati wanakaa chini na kusuluhishana. Huo ndio utamaduni wao. Hivyo, haya tunayoyaona sasa ni mvutano wa muda tu — ambao, kwa bahati mbaya, unaonekana vibaya machoni pa umma.
Wanasema atasafirishwa kupelekwa Comoro hii nayo nisamjo kutupeleka maboya mimi naona kama kufungiwa atapelekwa hapo kisiwani kwa mama au sehemuyoyote ya Pwani mbali na makazi ya watu na atafichwa vizuri tu asionekane tuombe Mungu wasimuharibu akili maana kama wanahofu sababu ya mdomo wake basi wanaweza kutumia madawa au chemical kumfanya taahira kwa maisha yake yote yaliyobaki maana ndio namna inayoweza kumnyamazisha Polepole akatulia kimya.
Kwa lile tukio la captain tesha binafsi nahisi ni mchongo tu ule ili kutuweka umma kwenye tension mpya ingawa nauhakika walioset ule mchongo wa captain tesha teyari walikuwa wameshajua polepole alipo sasa walitaka either kumzubaisha ila pia kukeep tension kwa umma kipindi wao wanafanya mission yao ya kumdaka polepole. tesha alikuwa ni sehemu ya kikosi kazi cha kumkamata Polepole.
Mwisho, nanukuu maneno ya Polepole mwenyewe: “Nchi hii chini ya CCM haitaki viongozi walionyooka kama rula. Ukiwa umenyoooka, utakutana na mambo manne: utaundwa zengwe, utapigwa fitna, utarogwa, au utauliwa kabisa.”