Chigurh
Member
- Apr 2, 2025
- 23
- 86
Tayari kuna maongezi ya maandamano. PolePole alikua anafahamika sana na uma, ni ngumu sana kusiwe na blowback yoyote wakimuua kama walivyowaua hao wengine.Hiyob
"Kinachowazuia kumuua kwa sasa ni hasira za wananchi" Mkuu hilo futa akilini mwako kwani wameuliwa wangapi na wananchi tumefanya nini?