Nina uhakika kwa asilimia 85% kuwa Bwana Polepole hatauliwa, ila huenda tusimuone tena

Hiyob

"Kinachowazuia kumuua kwa sasa ni hasira za wananchi" Mkuu hilo futa akilini mwako kwani wameuliwa wangapi na wananchi tumefanya nini?
Tayari kuna maongezi ya maandamano. PolePole alikua anafahamika sana na uma, ni ngumu sana kusiwe na blowback yoyote wakimuua kama walivyowaua hao wengine.
 
Z
Chai.

Polepole wameshammaliza .

Zile damu zilikuwa nyingi sana.
Zile damu ni prank 😀
Ni wachache wataelewa hili!
Hii mbinu ya kunyunyiza damu sakafuni huwa inatumika kwa sababu maalum
Angalia kwa makini hizo damu zilivyomwagwa kwa kufuata mstari kutoka nje utagundua kitu
 
Kaka yake anajua alipo hadi alipoumia.
UN ingilieni kati hasa USA waingilie kati iwe wazi na wajulikane.
 
Hasira za wananchi gani, hawa walio jaa unafiki? Hao jamaa wakiamua kumuua ni chaap kwaa, na hakuna chochote wananchi watafanya zaidi ya kukimbia mitandaoni kutukana tu and life goes on.
 
Unaruhusiwa kufanya speculation zozote kila kitu kinaezekana what if polepole kaamua kuwazubaisha kate geneza scene?unatafutwa unaunda kikundi chako kinatengeeza scene ya wewe kama umetekwa anachinjwa mbuzi damu inamwagwa mwagwa .alafu mnawapa msala, kwanza unakuwa umewaharibu kisaikolojia
Kwa hatua aliokuwa amefikia Hp alipaswa chumba chake kiwe kama safe na si mlango wa mbao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…