GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda.
Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama' sasa ni wazi kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 wana CHADEMA Wote ( tena ikiwezekana na Sare zao za Chama ) watampigia / watamchagua 'Mama' ili aendelee Kuwasamehe kama 'Wakikengeuka' tena 'Kisiasa' huko mbeleni.