GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda.
Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama' sasa ni wazi kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 wana CHADEMA Wote ( tena ikiwezekana na Sare zao za Chama ) watampigia / watamchagua 'Mama' ili aendelee Kuwasamehe kama 'Wakikengeuka' tena 'Kisiasa' huko mbeleni.
GENTAMYCINE usiwe na maneno ya kejeli, eti Rais ana Moyo wa kusamehe! Sisi tulisema Mh Mbowe siyo GAIDI, kwa hiyo amesamehewa kwa lipi ambalo DPP hakuliona? Uwe na ustaarabu angalau hata kidogo basi. Au tupe mfano ni wapi uliwahi kuona GAIDI anasamehewa?Kweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda.
Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama' sasa ni wazi kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 wana CHADEMA Wote ( tena ikiwezekana na Sare zao za Chama ) watampigia / watamchagua 'Mama' ili aendelee Kuwasamehe kama 'Wakikengeuka' tena 'Kisiasa' huko mbeleni.
Kwanza rekebisha kauli yako Mbowe hajasamehewa isipokuwa Mbowe kaachiwa kwa sababu mwendesha mashitaka (DPP) hana nia ya kuendelea na kesi kwa nini sisi CDM haituhusuKweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda.
Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama' sasa ni wazi kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 wana CHADEMA Wote ( tena ikiwezekana na Sare zao za Chama ) watampigia / watamchagua 'Mama' ili aendelee Kuwasamehe kama 'Wakikengeuka' tena 'Kisiasa' huko mbeleni.
Hakuna cha hasira wala mjukuu wa hasira huo ndiyo ukweli nyinyi mlisema Mbowe ni GAIDI, tuambieni sasa Mbowe ni GAIDI kweli?Hasira / Mapovu ya nini Mkuu? Imeuma?
Chadema is "technically dead"..siku za Mbowe kuvurumishiwa matusi zinahesabika.Tundu hawezi kuongea sababu ataambiwa mbona na wewe uliomba kuteta na Rais Samia huko ughaibuni?Kweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda.
Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama' sasa ni wazi kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 wana CHADEMA Wote ( tena ikiwezekana na Sare zao za Chama ) watampigia / watamchagua 'Mama' ili aendelee Kuwasamehe kama 'Wakikengeuka' tena 'Kisiasa' huko mbeleni.
Kura huwa haipigwi kwa issue moja kama ya kuachiwa kwa Mbowe pekee its a combination of different issues like water, education, health, economy, good governance, etc.Kweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda.
Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama' sasa ni wazi kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 wana CHADEMA Wote ( tena ikiwezekana na Sare zao za Chama ) watampigia / watamchagua 'Mama' ili aendelee Kuwasamehe kama 'Wakikengeuka' tena 'Kisiasa' huko mbeleni.
Kweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda.
Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama' sasa ni wazi kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 wana CHADEMA Wote ( tena ikiwezekana na Sare zao za Chama ) watampigia / watamchagua 'Mama' ili aendelee Kuwasamehe kama 'Wakikengeuka' tena 'Kisiasa' huko mbeleni.
Naona ...asubuhi kabla hata hujaoga unafikiria Kwa kutumia naniiiliu...aka masaburi!Kweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda.
Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama' sasa ni wazi kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 wana CHADEMA Wote ( tena ikiwezekana na Sare zao za Chama ) watampigia / watamchagua 'Mama' ili aendelee Kuwasamehe kama 'Wakikengeuka' tena 'Kisiasa' huko mbeleni.
CHADEMA hawaaminikiKweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda.
Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama' sasa ni wazi kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 wana CHADEMA Wote ( tena ikiwezekana na Sare zao za Chama ) watampigia / watamchagua 'Mama' ili aendelee Kuwasamehe kama 'Wakikengeuka' tena 'Kisiasa' huko mbeleni.
Mbowe ni gaidi rejea mari ya mahakama ya 18.02.2022Hakuna cha hasira wala mjukuu wa hasira huo ndiyo ukweli nyinyi mlisema Mbowe ni GAIDI, tuambieni sasa Mbowe ni GAIDI kweli?
Usiishi kwa ahadi ishi kwa uhalisia.mtu anaweza kukuahidi kuwa ajenga mabomba ya kutoa maziwa nchi nzimaSisi tutapga kura kwa atakae tupa ahadi zenye uhalisia.
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app