Nina uhakika usiotia shaka... kuwa sasa CCM ina matatizo mazito

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010
Kama ni kidali poo, mama Samia analo!

Nchimbi huyoo kayoyoma kiaina, kaona kama ni mbwai miye naulaza!
Kwa maneno ya mjini, kabwaga manyanga!
Ngoma waicheze wajuvi.

Kwa maneno nengine Nchimbi hana imani na mama Samia, kuwa mama Samia ana imani naye kama Makamu wa Rais.

Kwa matamshi yake ya karibuni, Nchimbi alishajijengea ukaribu mkubwa na Watanganyika wanao dai katiba mpya.
Hili linaiweka CCM njia panda, na huko hakukosi mtafaruku.

Sasa mama atoke huko Kizimkazi, wachague sasa Makamu wa Rais mwingine, tunavyomfahamu mama, si ajabu Wanu anaweza jaza nafasi.
 
Wampe Dullah au Wanu hii nchi mbona nyepesi sana kuongoza.Sema bwana Emmanuel naye chenga sana kwanini akupiga chini michakato baada ya mauaji yale.Damu za watu ziko juu yake hiki kikombe atakunywa pia.Huyu bibi kichaa kikimpanda atamvua na ubalozi kama bwana slow slow
 
HQgT1r8WEAAQizI.jpg
 
Nimecheka kijinga sana kama mazuri , yule mwenye kifua kipana anatosha, tumesema sana ,huwezi zungukwa na vilaza na ukatembea , Nchimbi alikuwa katika nafasi ya kuweka taifa mbele na angemsaidia sana uyu mama katika wakati Mgumu taifa linapitia , sasa upo na watu kama Bashite , Wasira n.k unategemea nini ?

Kama ni kweli kuna wana ccm m3 wamehasi chama , kupitia Nchimbi , mda mwalimu,

Ccm wafanyacho nikutia hofu wanachama na viongozi wao kwamba tunaweza kukufanya tutakalo, that's chadema ya sasa inawatesa sana wamekutana na vyuma ,hawana jeshi ila moto wanapelekewa sio wa Dunia hii
 
Kama ni kidali poo, mama Samia analo!

Nchimbi huyoo kayoyoma kiaina, kaona kama ni mbwai miye naulaza!
Kwa maneno ya mjini, kabwaga manyanga!
Ngoma waicheze wajuvi.

Kwa maneno nengine Nchimbi hana imani na mama Samia, kuwa na imani naye kama Makamu wa Rais.

Kwa matamshi yske ya karibuni, Nchimbi alishajijengea uksribu mkubwa na Watanganyika wanao dai katiba mpya.
Hili linaiweka CCM njia panda, na huko hakukosi mtafaruku.

Sasa mama atoke huko Kizimkazi, wachague sasa Makamu wa Rais mwingine, tunavyomfahamu mama, si ajabu Wanu anaweza jaza nafasi.
Aibu kubwa sana kwake.
 
CCM kuwa chama cha kisiasa ilikwisha october mwaka jana.Sasa hivi ni chama cha kifalme na jeshi.CCM habari za siasa hawazitambui tena
 
Kama ni kidali poo, mama Samia analo!

Nchimbi huyoo kayoyoma kiaina, kaona kama ni mbwai miye naulaza!
Kwa maneno ya mjini, kabwaga manyanga!
Ngoma waicheze wajuvi.

Kwa maneno nengine Nchimbi hana imani na mama Samia, kuwa na imani naye kama Makamu wa Rais.

Kwa matamshi yske ya karibuni, Nchimbi alishajijengea uksribu mkubwa na Watanganyika wanao dai katiba mpya.
Hili linaiweka CCM njia panda, na huko hakukosi mtafaruku.

Sasa mama atoke huko Kizimkazi, wachague sasa Makamu wa Rais mwingine, tunavyomfahamu mama, si ajabu Wanu anaweza jaza nafasi.

Ramli yoyote mnayopiga itawashangaza wenyewe.

It was just a matter of time jamaa ilifahamika atatema bungo tuh

CCM siku zote inaangalia maslahi ya chama

Aliondoka Lowasa na List yake CCM ikaendelea kuwa imara sembuse huyo?
 
Back
Top Bottom