SahiiCCM kuwa chama cha kisiasa ilikwisha october mwaka jana.Sasa hivi ni chama cha kifalme na jeshi.CCM habari za siasa hawazitambui tena
Hayo majinga sana kazi yao ni kumkatia Abdul mauno kwenye korido za Lumumba kama kina Makebo Jagina mdogoee na kubwa la maadui wanavyomkatiagq allah na mudi kwenye Video hapo chini😆😆😆😆😆😆Mbona Leo sioni nyuzi za Tlaatlaah na pacha wake Lucas Mwashambwa au Leo presha zao zipo juu huko lumumba
Miye mwana CCM, CCM asili haiwezi kuua wananchi wake a.k.a Okt29.Ramli yoyote mnayopiga itawashangaza wenyewe.
It was just a matter of time jamaa ilifahamika atatema bungo tuh
CCM siku zote inaangalia maslahi ya chama
Aliondoka Lowasa na List yake CCM ikaendelea kuwa imara sembuse huyo?
Miye mwana CCM, CCM asili haiwezi kuua wananchi wake a.k.a Okt29.
Lililopo ni genge la wahuni-Polepole.
Ni mjinga tu kama wewe ndio wanafikiria mapinduzi.Pole yenu
Kwahiyo mlidhani mngeweza kupindua nchi kwa style kama ile??
Mmeona sasa kilichowakuta?
Ni mjinga tu kama wewe ndio wanafikiria mapinduzi.
Mko wengi.
Mkuu unaweza ua Watanganyika WOTE ili utawale vizuri.Jaribuni tena muone
Lile liwe fundisho kwenu kuwa mamlaka hayajaribiwi
Mwenzenu anaozea jela kule
Mkuu unaweza ua Watanganyika WOTE ili utawale vizuri.
Uamuzi ni wako.
Fascists are now in control.Wale walikuwa wezi na wahuni tuh
Na msije kurudia tena upumbavu kama ule
Mnachoma nchi na mali za watu kisa hamjakubaliana na CCM??
KISHA MKITAKA MUACHWE??
Ni hekima kuchutamaMbona Leo sioni nyuzi za Tlaatlaah na pacha wake Lucas Mwashambwa au Leo presha zao zipo juu huko lumumba
Fascists are now in control.
Fascist asiyestaarabika anajionyesha dunia nzima.Hakuna nchi yoyote duniani wangeacha wahuni kama wale wapindue nchi
Sasa hiyo itakuwa nchi au danguro??
Sio yeye tu. Na alie nyuma yake.Kama Nchi , tukubali tuna mkosi Mkubwa na SA 100 ni JANGA KUBWA kuliko tulivyofikiria hapo awali
Watu washenzi a.k.a wasiostaarabika huwa hawaoni haya kuua.Hakuna nchi yoyote duniani wangeacha wahuni kama wale wapindue nchi
Sasa hiyo itakuwa nchi au danguro??
Mkuu Hawa linapokuja suala la kukitetea chama wapo tayari kuifanya nyekundu kuwa nyeupe😀😀Ni hekima kuchutama