Hao ni wafia chama nafikili wapo kwenye kikao kizito cha kutafuta propaganda kuuzima huu upepoHayo majinga sana kazi yao ni kumkatia Abdul mauno kwenye korido za Lumumba kama kina Makebo Jagina mdogoee na kubwa la maadui wanavyomkatiagq allah na mudi kwenye Video hapo chini😆😆😆😆😆😆
View attachment 3656748
What if LISSU angekuwa njeNimecheka kijinga sana kama mazuri , yule mwenye kifua kipana anatosha, tumesema sana ,huwezi zungukwa na vilaza na ukatembea , Nchimbi alikuwa katika nafasi ya kuweka taifa mbele na angemsaidia sana uyu mama katika wakati Mgumu taifa linapitia , sasa upo na watu kama Bashite , Wasira n.k unategemea nini ?
Kama ni kweli kuna wana ccm m3 wamehasi chama , kupitia Nchimbi , mda mwalimu,
Ccm wafanyacho nikutia hofu wanachama na viongozi wao kwamba tunaweza kukufanya tutakalo, that's chadema ya sasa inawatesa sana wamekutana na vyuma ,hawana jeshi ila moto wanapelekewa sio wa Dunia hii
List ni ndefu...!!!!Kama ni kidali poo, mama Samia analo!
Nchimbi huyoo kayoyoma kiaina, kaona kama ni mbwai miye naulaza!
Kwa maneno ya mjini, kabwaga manyanga!
Ngoma waicheze wajuvi.
Kwa maneno nengine Nchimbi hana imani na mama Samia, kuwa na imani naye kama Makamu wa Rais.
Kwa matamshi yske ya karibuni, Nchimbi alishajijengea uksribu mkubwa na Watanganyika wanao dai katiba mpya.
Hili linaiweka CCM njia panda, na huko hakukosi mtafaruku.
Sasa mama atoke huko Kizimkazi, wachague sasa Makamu wa Rais mwingine, tunavyomfahamu mama, si ajabu Wanu anaweza jaza nafasi.
The sun is going down to Chiolu.. Chinua AchebeHii drama ya CCM sasa hivi haihitaji hata popcorn, inajieleza yenyewe. Ngoja tuone hiyo nafasi mpya ya Makamu wa Rais itakavyoleta mtafaruku mwingine!
Kambi tofauti zimesha jijenga.The sun is going down to Chiolu.. Chinua Achebe
Na matatizo Yao yameambukizwa taifa hili,hivyo unapisikia kama CCM ni janga kwa taifa kila moja basi naaelewe.Kama ni kidali poo, mama Samia analo!
Nchimbi huyoo kayoyoma kiaina, kaona kama ni mbwai miye naulaza!
Kwa maneno ya mjini, kabwaga manyanga!
Ngoma waicheze wajuvi.
Kwa maneno nengine Nchimbi hana imani na mama Samia, kuwa mama Samia ana imani naye kama Makamu wa Rais.
Kwa matamshi yake ya karibuni, Nchimbi alishajijengea ukaribu mkubwa na Watanganyika wanao dai katiba mpya.
Hili linaiweka CCM njia panda, na huko hakukosi mtafaruku.
Sasa mama atoke huko Kizimkazi, wachague sasa Makamu wa Rais mwingine, tunavyomfahamu mama, si ajabu Wanu anaweza jaza nafasi.
Kwa wana CCM tulio mbali, kwa sasa hatujui CCM inasimamia nini zaidi ya makundi ya kufaidika na keko ya Taifa.Na matatizo Yao yameakukizwa taifa hili,hivyo unapisikia kama CCM ni janga kwa taifa kila moja baseless!
Mijinga ile nilichogundua ni michawa ambayo haijui kitu hata CCM sijui kama yanafamika vizuri, jana baada ya barua kuvuja mapema menyewe kwa vile ni mapofu yalikuwa bado yanabisha hapo ndio nikajua haya ni mapuuzi fulanj hivi yanapambana yasogezwe kwenye ulaji lakini kwa sasa bado yatakuwa yana struggleMbona Leo sioni nyuzi za Tlaatlaah na pacha wake Lucas Mwashambwa au Leo presha zao zipo juu huko lumumba
Matatizo sugu Tanganyika ni :-Kama ni kidali poo, mama Samia analo!
Nchimbi huyoo kayoyoma kiaina, kaona kama ni mbwai miye naulaza!
Kwa maneno ya mjini, kabwaga manyanga!
Ngoma waicheze wajuvi.
Kwa maneno nengine Nchimbi hana imani na mama Samia, kuwa mama Samia ana imani naye kama Makamu wa Rais.
Kwa matamshi yake ya karibuni, Nchimbi alishajijengea ukaribu mkubwa na Watanganyika wanao dai katiba mpya.
Hili linaiweka CCM njia panda, na huko hakukosi mtafaruku.
Sasa mama atoke huko Kizimkazi, wachague sasa Makamu wa Rais mwingine, tunavyomfahamu mama, si ajabu Wanu anaweza jaza nafasi.
Sasa tutamlaumu sana Nyere maana aliamini watu wana moyo safi kama yeye, kumbe yatakuja manyang'au yasiyo na aibu yamekuwa mengi sana.Matatizo sugu Tanganyika ni :-
1. Katiba
2. Muungano
3.CCM ambapo sio chama cha siasa ni Serikali ndani ya chama cha siasa.
4. JK
Wanabubujika kwanzaMbona Leo sioni nyuzi za Tlaatlaah na pacha wake Lucas Mwashambwa au Leo presha zao zipo juu huko lumumba
Kwa sasa CCM ni idara ya serikali, tisi wamo humo, wajuvi wamo humo, polisi wamo humo, matapeli na wafanya biashara vile vile wamo humo.Na matatizo Yao yameambukizwa taifa hili,hivyo unapisikia kama CCM ni janga kwa taifa kila moja basi naaelewe.