Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
2015CCM ilishakufa October 29
Nimecheka kijinga sana kama mazuri , yule mwenye kifua kipana anatosha, tumesema sana ,huwezi zungukwa na vilaza na ukatembea , Nchimbi alikuwa katika nafasi ya kuweka taifa mbele na angemsaidia sana uyu mama katika wakati Mgumu taifa linapitia , sasa upo na watu kama Bashite , Wasira n.k unategemea nini ?Wampe Dullah au Wanu hii nchi mbona nyepesi sana kuongoza.Sema bwana Emmanuel naye chenga sana kwanini akupiga chini michakato baada ya mauaji yale.Damu za watu ziko juu yake hiki kikombe atakunywa pia.Huyu bibi kichaa kikimpanda atamvua na ubalozi kama bwana slow slow
Uyu mzee mhuni sana
Aibu kubwa sana kwake.Kama ni kidali poo, mama Samia analo!
Nchimbi huyoo kayoyoma kiaina, kaona kama ni mbwai miye naulaza!
Kwa maneno ya mjini, kabwaga manyanga!
Ngoma waicheze wajuvi.
Kwa maneno nengine Nchimbi hana imani na mama Samia, kuwa na imani naye kama Makamu wa Rais.
Kwa matamshi yske ya karibuni, Nchimbi alishajijengea uksribu mkubwa na Watanganyika wanao dai katiba mpya.
Hili linaiweka CCM njia panda, na huko hakukosi mtafaruku.
Sasa mama atoke huko Kizimkazi, wachague sasa Makamu wa Rais mwingine, tunavyomfahamu mama, si ajabu Wanu anaweza jaza nafasi.
MASTERMIND ... NEXT VP AU 🤣🤣🤣🤣Uyu mzee mhuni sana
Wahauni uzeheka pia kama sio kufaMASTERMIND ... NEXT VP AU 🤣🤣🤣🤣
Hilo ni jopo la machawa, si mtu mmoja.Mbona Leo sioni nyuzi za Tlaatlaah na pacha wake Lucas Mwashambwa au Leo presha zao zipo juu huko lumumba
CCM kuwa chama cha kisiasa ilikwisha october mwaka jana.Sasa hivi ni chama cha kifalme na jeshi.CCM habari za siasa hawazitambui tenaNimecheka kijinga sana kama mazuri , yule mwenye kifua kipana anatosha, tumesema sana ,huwezi zungukwa na vilaza na ukatembea , Nchimbi alikuwa katika nafasi ya kuweka taifa mbele na angemsaidia sana uyu mama katika wakati Mgumu taifa linapitia , sasa upo na watu kama Bashite , Wasira n.k unategemea nini ?
Kama ni kweli kuna wana ccm m3 wamehasi chama , kupitia Nchimbi , mda mwalimu,
Ccm wafanyacho nikutia hofu wanachama na viongozi wao kwamba tunaweza kukufanya tutakalo, that's chadema ya sasa inawatesa sana wamekutana na vyuma ,hawana jeshi ila moto wanapelekewa sio wa Dunia hii
Wamekimbilia kwa wataalamu kusaka teuziMbona Leo sioni nyuzi za Tlaatlaah na pacha wake Lucas Mwashambwa au Leo presha zao zipo juu huko lumumba
Kashaweka uzi wake anasema welcome simbachawe km makamo mpiaMbona Leo sioni nyuzi za Tlaatlaah na pacha wake Lucas Mwashambwa au Leo presha zao zipo juu huko lumumba
Kama ni kidali poo, mama Samia analo!
Nchimbi huyoo kayoyoma kiaina, kaona kama ni mbwai miye naulaza!
Kwa maneno ya mjini, kabwaga manyanga!
Ngoma waicheze wajuvi.
Kwa maneno nengine Nchimbi hana imani na mama Samia, kuwa na imani naye kama Makamu wa Rais.
Kwa matamshi yske ya karibuni, Nchimbi alishajijengea uksribu mkubwa na Watanganyika wanao dai katiba mpya.
Hili linaiweka CCM njia panda, na huko hakukosi mtafaruku.
Sasa mama atoke huko Kizimkazi, wachague sasa Makamu wa Rais mwingine, tunavyomfahamu mama, si ajabu Wanu anaweza jaza nafasi.