Nina uhakika usiotia shaka... kuwa sasa CCM ina matatizo mazito

Mbona Leo sioni nyuzi za Tlaatlaah na pacha wake Lucas Mwashambwa au Leo presha zao zipo juu huko lumumba
Hayo majinga sana kazi yao ni kumkatia Abdul mauno kwenye korido za Lumumba kama kina Makebo Jagina mdogoee na kubwa la maadui wanavyomkatiagq allah na mudi kwenye Video hapo chini😆😆😆😆😆😆
Your browser is not able to display this video.
 
Ramli yoyote mnayopiga itawashangaza wenyewe.

It was just a matter of time jamaa ilifahamika atatema bungo tuh

CCM siku zote inaangalia maslahi ya chama

Aliondoka Lowasa na List yake CCM ikaendelea kuwa imara sembuse huyo?
Miye mwana CCM, CCM asili haiwezi kuua wananchi wake a.k.a Okt29.
Lililopo ni genge la wahuni-Polepole.
 
Nina Uhakika usio na SHAKA kwamba J.P.M aliu wawa na walio Muua ni watu hawa hawa waliopo kule A LIST wakiongozwa na maza mwenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…