Nina uhakika usiotia shaka... kuwa sasa CCM ina matatizo mazito

What if LISSU angekuwa nje
 
List ni ndefu...!!!!
 
Na matatizo Yao yameambukizwa taifa hili,hivyo unapisikia kama CCM ni janga kwa taifa kila moja basi naaelewe.
 
Mbona Leo sioni nyuzi za Tlaatlaah na pacha wake Lucas Mwashambwa au Leo presha zao zipo juu huko lumumba
Mijinga ile nilichogundua ni michawa ambayo haijui kitu hata CCM sijui kama yanafamika vizuri, jana baada ya barua kuvuja mapema menyewe kwa vile ni mapofu yalikuwa bado yanabisha hapo ndio nikajua haya ni mapuuzi fulanj hivi yanapambana yasogezwe kwenye ulaji lakini kwa sasa bado yatakuwa yana struggle
 
Matatizo sugu Tanganyika ni :-
1. Katiba
2. Muungano
3.CCM ambapo sio chama cha siasa ni Serikali ndani ya chama cha siasa.
4. JK
 
Matatizo sugu Tanganyika ni :-
1. Katiba
2. Muungano
3.CCM ambapo sio chama cha siasa ni Serikali ndani ya chama cha siasa.
4. JK
Sasa tutamlaumu sana Nyere maana aliamini watu wana moyo safi kama yeye, kumbe yatakuja manyang'au yasiyo na aibu yamekuwa mengi sana.
 
Na matatizo Yao yameambukizwa taifa hili,hivyo unapisikia kama CCM ni janga kwa taifa kila moja basi naaelewe.
Kwa sasa CCM ni idara ya serikali, tisi wamo humo, wajuvi wamo humo, polisi wamo humo, matapeli na wafanya biashara vile vile wamo humo.
Mkulima na mfanyakazi wa jembe na nyundo ulie tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…