Nina uhakika yanga wameanza kuchoka na bado watachoka zaidi ya hapa

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Pamoja na wachambuzi wenu kuwatetea utopolo kuwa eti wameonewa na waamuzi, wakisahau makosa yale yale waamuzi wanayafanya kwa timu nyingine, ukweli ni kwamba Yanga wameanza kuchoka. Na kama ilivyo kawaida, ndio muda wa utopolo kugawa pointi kwa timu zitakazojidhatiti.

Round ya pili itakuwa ngumu zaidi kwani utopolo watatoa sare mechi tano ya leo ikiwemo na watapoteza mechi 2.

Ubingwa bado uko wazi sana
 
Hahaaa... mbumbumbu bhana! Eti yamejialika huku kujitia moyo ili yalazimishe kupata furaha...[emoji1787]

Ni heri ukose mali kuliko kukosa akili.

Kuteseka kote huko ni sababu tu ijulikane kuwa MAKOLO si mbovu mwaka huu?

Timu ya mchongo,

Mechi za michongo,

Penati za michongo,

Matokeo ya mchongo,

Refa wa mchongo,

Mdhamini wa mchongo,

Mashabiki wa michongo,

Kweli MAKOLO mtafika mbinguni mkiwa mmechoka sana...[emoji16]
 
Sio kwamba imechoka sema Yanga kakutana na mpinzani ambaye alijiandaa vizuri kimbinu Mbeya city walikuwa wanawapress Sana Yanga na kuwanyima space kwa kuubana Uwanja.

Tofauti yetu kubwa na Yanga wenzetu walikuwa wapo sharp kwenye kufanya mashambulizi ya haraka sisi Simba tupo slow kwenye build up ya mashambulizi
 
Pamoja na wachambuzi wenu kuwatetea utopolo kuwa eti wameonewa na waamuzi,wakisahau makosa yale yale waamuzi wanayafanya kwa timu nyingine,ukweli ni kwamba yanga wameanza kuchoka...
Tulia kolo, wewe ulichimbwa mimi nimetoa sare tena refa katunyima magoli mawili ya wazi kabisaa.

Sasa endelea kujipa matumaini ya ubingwa na timu yako mbuvu
 
Endelea kupiga ramli msimu hamna Viporo vya kununua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…