Nina uhakika yanga wameanza kuchoka na bado watachoka zaidi ya hapa

Nina uhakika yanga wameanza kuchoka na bado watachoka zaidi ya hapa

Kumekucha
Screenshot_2022-02-06-12-46-03-23.jpg
 
Kweli ikiwezekana na shirikisho la Afrika andaeni fungu,wenzetu mna hela na ndio maana mnajitengenezea viporo kila msimu, ila huko shirikisho hamna viporo.

So kwa hiyo msimu huu kama hamna viporo,msimu ujao mnabaki home?
Yaan tukose nafasi 4 za juu?? Mkuu embu kua serious kidogo basi
 
Yaan tukose nafasi 4 za juu?? Mkuu embu kua serious kidogo basi
Kwa huu mwendo wenu mechi red card,mechi penati ,mechi goli la offside hamuwezi kukosa top 3 na tena ubingwa mnachukua.
 
Back
Top Bottom