Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Kumbe kulikuwa na makubaliano kati ya pande mbili eeeh. Kwahivyo unataka kusema Mbeya City wameshindwa kuheshimu fedha ya magodoro.Hivi mbeya city hawawezi kushitakiwa kwa kukiuka makubaliano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kulikuwa na makubaliano kati ya pande mbili eeeh. Kwahivyo unataka kusema Mbeya City wameshindwa kuheshimu fedha ya magodoro.Hivi mbeya city hawawezi kushitakiwa kwa kukiuka makubaliano?
Yaan tukose nafasi 4 za juu?? Mkuu embu kua serious kidogo basiKweli ikiwezekana na shirikisho la Afrika andaeni fungu,wenzetu mna hela na ndio maana mnajitengenezea viporo kila msimu, ila huko shirikisho hamna viporo.
So kwa hiyo msimu huu kama hamna viporo,msimu ujao mnabaki home?
Kwa huu mwendo wenu mechi red card,mechi penati ,mechi goli la offside hamuwezi kukosa top 3 na tena ubingwa mnachukua.Yaan tukose nafasi 4 za juu?? Mkuu embu kua serious kidogo basi