Nina uhakika yanga wameanza kuchoka na bado watachoka zaidi ya hapa

Hivi vicheko vya kulazimisha huku macho yako yamelowa machozi sio vizuri, utashtakiwa na nafsi yako mwenyewe..
 
Tulia kolo, wewe ulichimbwa mimi nimetoa sare tena refa katunyima magoli mawili ya wazi kabisaa.
Sasa endelea kujipa matumaini ya ubingwa na timu yako mbuvu
Kwa hiyo mnaenda lini CAS?!
 
Viporo vitaanza baada ya mechi ya tar 13 na Asec. Tushaandaa pesa za kununulia Viporo, UNASEMAJE??
Kweli ikiwezekana na shirikisho la Afrika andaeni fungu,wenzetu mna hela na ndio maana mnajitengenezea viporo kila msimu, ila huko shirikisho hamna viporo.

So kwa hiyo msimu huu kama hamna viporo,msimu ujao mnabaki home?
 
Kweli nimeamini hawara haachwi.
Simba pamoja na kupigwa kimoko na bwana wake lakini bado anamshangilia etiw
 
Pumbav! Chiku lushindo anabaki na kipa anafumba macho aaf unakuja unasema nyokonyoko umenyimwa magoli?
 
Wakitoa sare mechi tano na kufungwa wakati huo wewe utashinda zote eti kijana uliyeshiba makande ya kiporo, Mbumbumbu mnajua sana kupiga hesabu za vidole yani mnaiangalia yanga ipoteze alafu kwenye hesabu izo izo mnajisahau kujiweka na nyie!!!
 
Hakuna watu wanateseka sana msimu huu kama MAKOLO
 
PALE ......MBUMBUMBU WA MIKIA FC......WANAPOJIFARIJI KUCHUKUA UBINGWA
 
Kinachonifurahisha ratiba ya msimu huu haina viporo,tutajuana mbele kwa mbele...
Ata wakipata viporo aviwezi kuwasaidia kwasasa zaidi ya kuwaongezea presha wao, yanga ingekuwa inafanya vibaya na wao wakawa na viporo hapo vingewasaidia but yanga iko juu kwa tofauti ya point 8 na michezo sawa na bado ni yanga bora uwanjani msimu huu ivyo viporo wanaweza kujikuta wanakuja kukamilisha ratiba tu na awana chao
 
Sisi tunavyojua ni kwamba, hakuna penalty za michongo zinazoweza kufikia zile walizopewa Yanga kwenye mechi dhidi ya Namumgo na Ruvu shooting, ni michongo iliyopelekea kufungiwa kwa hao marefa.

Wewe unaongelea michongo gani??
 
Kama uliangalia game ya Simba na Prison utajua alie choka nani , endelea kujipa matumaini hewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…