Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi vicheko vya kulazimisha huku macho yako yamelowa machozi sio vizuri, utashtakiwa na nafsi yako mwenyewe..Hahaaa... mbumbumbu bhana! Eti yamejialika huku kujitia moyo ili yalazimishe kupata furaha...[emoji1787]
Ni heri ukose mali kuliko kukosa akili.
Kuteseka kote huko ni sababu tu ijulikane kuwa MAKOLO si mbovu mwaka huu?
Timu ya mchongo,
Mechi za michongo,
Penati za michongo,
Matokeo ya mchongo,
Refa wa mchongo,
Mdhamini wa mchongo,
Mashabiki wa michongo,
Kweli MAKOLO mtafika mbinguni mkiwa mmechoka sana...[emoji16]
Kwa hiyo mnaenda lini CAS?!Tulia kolo, wewe ulichimbwa mimi nimetoa sare tena refa katunyima magoli mawili ya wazi kabisaa.
Sasa endelea kujipa matumaini ya ubingwa na timu yako mbuvu
Viporo vitaanza baada ya mechi ya tar 13 na Asec. Tushaandaa pesa za kununulia Viporo, UNASEMAJE??Endelea kupiga ramli msimu hamna Viporo vya kununua.
Kweli ikiwezekana na shirikisho la Afrika andaeni fungu,wenzetu mna hela na ndio maana mnajitengenezea viporo kila msimu, ila huko shirikisho hamna viporo.Viporo vitaanza baada ya mechi ya tar 13 na Asec. Tushaandaa pesa za kununulia Viporo, UNASEMAJE??
Sawa MAKOLOHivi vicheko vya kulazimisha huku macho yako yamelowa machozi sio vizuri, utashtakiwa na nafsi yako mwenyewe..
Shangaa na weweKweli nimeamini hawara haachwi.
Simba pamoja na kupigwa kimoko na bwana wake lakini bado anamshangilia etiw
CAS kufanya nini dada?Kwa hiyo mnaenda lini CAS?!
Wakitoa sare mechi tano na kufungwa wakati huo wewe utashinda zote eti kijana uliyeshiba makande ya kiporo, Mbumbumbu mnajua sana kupiga hesabu za vidole yani mnaiangalia yanga ipoteze alafu kwenye hesabu izo izo mnajisahau kujiweka na nyie!!!Pamoja na wachambuzi wenu kuwatetea utopolo kuwa eti wameonewa na waamuzi, wakisahau makosa yale yale waamuzi wanayafanya kwa timu nyingine, ukweli ni kwamba Yanga wameanza kuchoka. Na kama ilivyo kawaida, ndio muda wa utopolo kugawa pointi kwa timu zitakazojidhatiti.
Round ya pili itakuwa ngumu zaidi kwani utopolo watatoa sare mechi tano ya leo ikiwemo na watapoteza mechi 2.
Ubingwa bado uko wazi sana
Ata wakipata viporo aviwezi kuwasaidia kwasasa zaidi ya kuwaongezea presha wao, yanga ingekuwa inafanya vibaya na wao wakawa na viporo hapo vingewasaidia but yanga iko juu kwa tofauti ya point 8 na michezo sawa na bado ni yanga bora uwanjani msimu huu ivyo viporo wanaweza kujikuta wanakuja kukamilisha ratiba tu na awana chaoKinachonifurahisha ratiba ya msimu huu haina viporo,tutajuana mbele kwa mbele...
Sisi tunavyojua ni kwamba, hakuna penalty za michongo zinazoweza kufikia zile walizopewa Yanga kwenye mechi dhidi ya Namumgo na Ruvu shooting, ni michongo iliyopelekea kufungiwa kwa hao marefa.Hahaaa... mbumbumbu bhana! Eti yamejialika huku kujitia moyo ili yalazimishe kupata furaha...[emoji1787]
Ni heri ukose mali kuliko kukosa akili.
Kuteseka kote huko ni sababu tu ijulikane kuwa MAKOLO si mbovu mwaka huu?
Timu ya mchongo,
Mechi za michongo,
Penati za michongo,
Matokeo ya mchongo,
Refa wa mchongo,
Mdhamini wa mchongo,
Mashabiki wa michongo,
Kweli MAKOLO mtafika mbinguni mkiwa mmechoka sana...[emoji16]
Kama uliangalia game ya Simba na Prison utajua alie choka nani , endelea kujipa matumaini hewaPamoja na wachambuzi wenu kuwatetea utopolo kuwa eti wameonewa na waamuzi, wakisahau makosa yale yale waamuzi wanayafanya kwa timu nyingine, ukweli ni kwamba Yanga wameanza kuchoka. Na kama ilivyo kawaida, ndio muda wa utopolo kugawa pointi kwa timu zitakazojidhatiti.
Round ya pili itakuwa ngumu zaidi kwani utopolo watatoa sare mechi tano ya leo ikiwemo na watapoteza mechi 2.
Ubingwa bado uko wazi sana
Hivi mbeya city hawawezi kushitakiwa kwa kukiuka makubaliano?
Hivi mbeya city hawawezi kushitakiwa kwa kukiuka makubaliano?