omutimbasafi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 609
- 770
Hii iko realistic, ila kitendo cha kujua mtu anakutombea kisha ukakaa kimya, hivi mkeo wa ndoa asafiri for 16 days awe anakukatia simu tu. Hio itakuwa dalili gani? Uzezeta au roho ya kristo?
Kama hadi familia yao wanajua kabisa wewe unamtiaa mtoto wao waliemuoza kwa Harusi bhasi Kifo ndo kinaweza kuwatenganishaa...!! Huyo mwanamke ni mpuuzi pia wazazi wa huyo mwanamke ni wapuuzi sana tuu... Huwezi ruhusu uchafu wa namna hiyo kisa mtoto wao anasema atakunywaa sumuu... mamaee wamuachee anywee tuoneee jitu zimaa kujidai limenogewa na mbo...oo kama limeijuaa janaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji57][emoji57][emoji57]Mkuu umesoma vizuri kweli bandiko langu au umesoma kichwa tu cha habari!?? Ugumu haupo kwangu,ugumu zaidi upo kwa dada mwenyewe. Yy ndo hataki hili lifanyike. Yeye yupo tayari atoke kule kwa mwanaume arudi kwao. Yaani anasema km hiyo ndoa itakuwa kikwazo yy anaivunja. Na hv tunavyoongea yupo kwao,maana mm tangu jana asbh sikuwa napokea simu zake,mchana mama yake akanipigia,nikapokea akaniambia niende huko, nikamwambia nipo na familia tunajiandaa kwenda kanisani.
Kwa hiyo nikamuahidi ntaenda leo kuwasikiliza...na nikaongea na huyo dada kupitia simu ya mama yake. Mkuu mama mwenyewe alishasema,hataki kumuona mwanae akiwa na maumivu,yeye mwenyewe mama yupo tayari mwanaye aachike. .mwaka jana mwezi wa 10 nilipata dharula ya kwenda mkoani,aisee dem aling'ang'ana kwenda na mm hadi akawa anatishia kunywa sumu. Mama akanisihi sana niende naye. Mama akasema yeye ndo atajua cha kumwambia Mme wake. Nilisafiri naye kweli. Dem tangu siku tunasafiri akazima simu,akawa anatumia simu yangu kuwasiliana na watu wake muhimu akiwemo mama. Lkn jamaa alikatiwa mawasiliano mpka tuliporudi na tulikaa siku 16. Mkuu mm siyo mjinga sana,kuna vitu nakumbana navyo ndo maana nataka mawazo mbadala!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Bro kuna kitu unakitafuta
Sema hujakipata.
Ukikipata utamwacha smoothly.
Ila kweli nimeamimi ndezi dawa yake rungu.
Ukimtwisha rungu moja la kichwani kimyaaaaaa!!!!!
Inasikitisha ilaa ndo mambo ya kuoaa ili na wewe uonekane umeoaa mwanamke sijui mzurii..mwenye takoo akati huna uwezo wa kumtulizaa... Maana huyu demu wangu aliekuwa ananidithia yani anamsifia sana huyo manzi kuwa ana matakoo makubwa balaa...hata huyu wangu tako lake si mchezoo nkajua same type...Hahahah huyo jamaa ndio kaolewa basi, katika hali ya kawaida mwanamke hawezi leta mbwembwe kwako kama we ndio host wa show zote kuanzia mjengo n.k.
Aisee mie labda kama sidindishi na sitoi bao! Ila kama naweza yote hayo huyo demu ningemgeuza butcher! Namlia timing siku moja nafunga milango na madirisha ya chumbani vizuri tu, akisema fyoko tu naanua mkanda mmoja wa ngozi.
Nampa kisago cha ela yote mpaka maneno alioropoka yarudi mdomoni mwake yalipotoka. Yani nahakikisha ametepeta kabisa kawa rojo rojo! Hata kuinua ulimi hawezi. Kisha namuacha apumzike. Pakikucha namtazama kama hajajirudi naanza upya tena namnyoosha kidogo kisha natoa taarifa kisha nampa uhuru wa kusuka au kunyoa, kama akishindwa kuendanana na matakwa yangu ikibidi aondoke tu nyumbani kwangu mara moja staki kuona sura yake ya kishetani kamwe.
Na taarifa kwao natoa.
noma sanaa...kuna kipindi nilipanga nyumba flani jamaa alioaa kademu kadogo sana kama 20 yrs hivi yani jamaa alikuwa anashinda kazini sana na vyumba vyetu vilikuwa vinatazamana.. Yule demu alikuwa anashinda ndani mwenyewe siku nzima na ile nyumba tulikuwa tunabaki me na yeye tu... Niliwaza sana kumla yule manzi lakini nilikuwa nikiwaza kama angekuwa ni mke wangu ningejisikiaje aisee Nilishindwaa kufanya huu ujinga japo ningeamua ningemlaaaNimeumia sana kama mimi ndiyo huyo dogo
Daah kama mimi mtu ambaye sijatendewa hivyo ila hisia tu ndiyo nimeumia hivi
Embu fikiria jamaa anaumia vipi ??
Nakushauri ndugu utakuja kufa kizembe sana achana na wake za watu
Hahaha maamae, kuoa dame mwenye game zaidi yako ni hatari sana if you aren't a man enough unaweza kujinyongolota.Inasikitisha ilaa ndo mambo ya kuoaa ili na wewe uonekane umeoaa mwanamke sijui mzurii..mwenye takoo akati huna uwezo wa kumtulizaa... Maana huyu demu wangu aliekuwa ananidithia yani anamsifia sana huyo manzi kuwa ana matakoo makubwa balaa...hata huyu wangu tako lake si mchezoo nkajua same type...
Hahaaa... [emoji28]Bro kuna kitu unakitafuta
Sema hujakipata.
Ukikipata utamwacha smoothly.
Ila kweli nimeamimi ndezi dawa yake rungu.
Ukimtwisha rungu moja la kichwani kimyaaaaaa!!!!!
Thats way too far. But huenda wife alivaa sintokuwa na doubt sana.unaongelea ishu ya kukatiwa simu tu vipi ukija kuta tshirt yako ambayo ilikuwa safi na hujaivaa miezi miwili afu unamkuta mkeo anaifua,utaelewa nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Inasikitisha ilaa ndo mambo ya kuoaa ili na wewe uonekane umeoaa mwanamke sijui mzurii..mwenye takoo akati huna uwezo wa kumtulizaa... Maana huyu demu wangu aliekuwa ananidithia yani anamsifia sana huyo manzi kuwa ana matakoo makubwa balaa...hata huyu wangu tako lake si mchezoo nkajua same type...
noma sanaa...kuna kipindi nilipanga nyumba flani jamaa alioaa kademu kadogo sana kama 20 yrs hivi yani jamaa alikuwa anashinda kazini sana na vyumba vyetu vilikuwa vinatazamana.. Yule demu alikuwa anashinda ndani mwenyewe siku nzima na ile nyumba tulikuwa tunabaki me na yeye tu... Niliwaza sana kumla yule manzi lakini nilikuwa nikiwaza kama angekuwa ni mke wangu ningejisikiaje aisee Nilishindwaa kufanya huu ujinga japo ningeamua ningemlaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu siwezi OA mwanamke mwenye mikalio aisee acha niyale huko nje...!! Pasua kichwa sana hawaa huwa wanahisi wanaweza olewa muda wowotee hayaogopi Kuachika kabisaa.....Rikiboy una utani na Jamaa aliyesema "napenda Ke mwenye msambwanda lkn akili si ishu atatumia hata zake"[emoji4]
Nashukuru mkuu...!! Nilishafanyaga maamuzi mengi kwenye maisha yangu lakini Kutokumla yule manzi huwaga naona ni uamuzi mkubwa wa busara ever...Mungu akuzidishie maisha marefu kwa hekima uliyo nayo, maana hapo si kwa akili zako binafsi bali ni Mungu alikuongoza vzr
Hadi umefikia kujitambua hivyo basi ujue tayari ushakomaa akili kimaisha kuwa Mke Mwema si umbo tu bali ni zaidi ya umbo[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu siwezi OA mwanamke mwenye mikalio aisee acha niyale huko nje...!! Pasua kichwa sana hawaa huwa wanahisi wanaweza olewa muda wowotee hayaogopi Kuachika kabisaa.....