Mkuu umesoma vizuri kweli bandiko langu au umesoma kichwa tu cha habari!?? Ugumu haupo kwangu,ugumu zaidi upo kwa dada mwenyewe. Yy ndo hataki hili lifanyike. Yeye yupo tayari atoke kule kwa mwanaume arudi kwao. Yaani anasema km hiyo ndoa itakuwa kikwazo yy anaivunja. Na hv tunavyoongea yupo kwao,maana mm tangu jana asbh sikuwa napokea simu zake,mchana mama yake akanipigia,nikapokea akaniambia niende huko, nikamwambia nipo na familia tunajiandaa kwenda kanisani.
Kwa hiyo nikamuahidi ntaenda leo kuwasikiliza...na nikaongea na huyo dada kupitia simu ya mama yake. Mkuu mama mwenyewe alishasema,hataki kumuona mwanae akiwa na maumivu,yeye mwenyewe mama yupo tayari mwanaye aachike. .mwaka jana mwezi wa 10 nilipata dharula ya kwenda mkoani,aisee dem aling'ang'ana kwenda na mm hadi akawa anatishia kunywa sumu. Mama akanisihi sana niende naye. Mama akasema yeye ndo atajua cha kumwambia Mme wake. Nilisafiri naye kweli. Dem tangu siku tunasafiri akazima simu,akawa anatumia simu yangu kuwasiliana na watu wake muhimu akiwemo mama. Lkn jamaa alikatiwa mawasiliano mpka tuliporudi na tulikaa siku 16. Mkuu mm siyo mjinga sana,kuna vitu nakumbana navyo ndo maana nataka mawazo mbadala!!