Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu


Aisee kama kweli safi sana Wagumu sikuzote wanadumu
 
muosha huoshwa
 
Hapo mwanamke pia nae Ni tatizo na huyo mama pia.

Kwanini wakubali aolewe na mwanaume mwngne kumbe hawampendi???

Hivi mfano ungekuwa ww ndo unafanyiwa hivo ungejiskiaje??





Tatizo
TUNAOA WAPENZI WAWATU
 
 
Lenye mwanzo lazima lina mwisho wake
Na hakuna marefu yasiyo na ncha
Omba tu mwisho wake usiwe wa aibu mpaka ukataman kujiua!!!
Alafu mke wako ni mbaya kiasi hicho mpaka unafanya mapenzi na mke wa watu anayeolewa siku ya harusi, kwanza umemdharau sana mkeo,
Aisee mi nakwombea kabisa mwisho wako uwe mbaya sana, tena wa aibu kubwa ili iwe fundisho kwa sis wanaume
 
Yaani mpaka MTU anatuma msg na kusema mwambie achomoe kwanza upokee simu kwanza jua kabisa,alijua mko pamoja na kukukamata its a just of time bado anakulia timing tu ila,ashajua mwizi wake ..acha kutafuta sababu eti unamuhurumia kumuacha utafikiri umezaliwa nae ..muhurumie mwenzio muachie Mke wake tafadhali nakuomba..ebu acha hiyo tabia ni mbaya sana na siku ukifumaniwa utashangaa na roho yako...
 
Ushauri wowote utakaopewa hata ufanyia kazi maana maandiko yako yanajidhihiri kuwa hujawa tayari kumuacha huyu mchepuko.
Mfano mdogo Mamake binti anakupigia simu kukutafuta huitaji kujitetea Bali kumueleza ukweli kuwa wewe sasa hivi hauko na bintiye. Na waache kukutafuta kwani wewe una familia yako. Kwani huwezi badili namba za simu??!!
 
Mungu amfanyie wepesi mkeo, na awapatie kila dhila la hii Dunia wewe na huyo hayawani mwenzio Aaaamin.
 
Eheee sasa hilo lijanaume lilitakiwa lioe na huyo binti .....sasa tuanze na sisi
Huyu Kaka ana uthubutu wa ajabu sana. Yaani siku ya harusi kalala jirani na kwa Bi harusi ili ale mzigo alfajiri.
Hapa kuna shida kubwa zaidi ya tunavyo Iona.
 
Me nashukuru kwa Ushauri,suala la mm kuchukua hatua au kutochukua hilo niachie mm. Kwa sababu hata hivyo hapa nimepata options nyingi sana na mm nna kichwa kimoja tu,so kwa vyovyote siwezi kufanyia kazi kila ushauri. Lkn mm kuja kujieleza hapa siyo kwamba sina akili kabisaa,nna akili zangu na mm ndo najua madhira na raha nnazopata. Wale wanaohukumu me ndo wanashangaa wao,kwa sababu wanahukumu kutokana na dhambi niliyoisema me mwenyewe. Yaani mtu badala ukae utafakari kwa nn huyu jamaa kasema yote haya!?? Unaanza kuni-attack wakati hicho kinachokufanya unilaumu nimekiweka wazi mwenyewe,na huwezi kusema natafuta sifa hapa wakati hakuna anayenifahamu!!

Nilikuwa na uwezo wa kuandika vingine,lkn kwa sababu mm ndo naelewa,nikaona niandike dhambi zote mbaya nilizofanya naye ili watu wapate namna nzuri ya kushauri lkn mtu badala akushauri anaanza kukuhukumu,mkeo naye anageuzwa,mara hukumu ni hapa hapa! So what!?? Siwezi kubadili number za simu mkuu,kwa sababu simu yangu haipo kwa ajili hiyo tu.
 
Huyu Kaka ana uthubutu wa ajabu sana. Yaani siku ya harusi kalala jirani na kwa Bi harusi ili ale mzigo alfajiri.
Hapa kuna shida kubwa zaidi ya tunavyo Iona.
Itakuwa Huyo dem anampa vitu visivyo kawaida.
 
Kijana mwenzangu..ukitaka kuoa mke usiangaike sana kumchunguza mwanamke wako Bali mchunguze mama yake maana asilimia kubwa ya tabia za akina mama ndio tabia za watoto wao
 
story ya kweli
nilikuwa na rafiki yangu japo sio kivilee.alinizidi umri kwa sana ila mambo ya maji/ bia ulevi yalitufanya tuwe kama rika moja. jamaa alichelewa kuoa sana. alioa binti mdogo mzuri. alikuwa ana kawaida ya kumfuata tunapokunywa na kumfokea sana. nikampenda/ kuvutiwa nae kwa ule mwanya na sauti yake. akanipa namba nikamtafuta nikamla. analia mwanzo mwisho penzi likakolea. jamaa alikuja kujua akawa anatembea na kisu ili aniue. haikuwa hivyo ila alikuja kunikuta nae ilikuwa jambo baya sana maishani mwangu
ACHANA NA MKE WA MTU NI HATARI SANA
 
DAWA YA KUACHANA NA MKE WA MTU NI MPAKA SIKU UFUMANIWE,UPIGWE MAPANGA YA KWENYE DUSHELELE LAKO KAMA 7 HIVI,NDIPO UTAKAPOAMINI MKE WA MTU SUMU,AMKA BRAZA,USIPIME KINA CHA BAHARI KWA MGUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…